:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1: :A S crown-1:= JK,JK kamzidi Dr.Slaa duh! where is MS?
Ni ngumu, si unajua braza hata ka masters tu hakufanyaga? Baada ya BA Economics - FIRST CLASS (GPA 2.1) hajaonaga tena ubao wa mweusi.
Yaani vyuo vinashindana kujipendekeza kwa mkuu wa nchi badala ya kumkosoa? Usomi bila uhuru wa fikra na kujiamini hakuna uhuru na hivyo hakutakuwepo na madndeleo
Hii ndio tanzania, kama ningekuwa mmoja wa wanafamilia wa JK ningekuwa namshauri asiwe anakubali kutunukiwa kitu chochote kwa kuwa kinatudhalilisha kama familia, mwa mtazamo wangu hilo halipo kwenye familia ya mkulu. Cha ajabu zaidi kwenye shughuli kama hizi huwa zinaudhuriwa na familia nzima na baada ya hapo kunafuatia sherehe kubwa ya kumpongeza.
mbona udokta wa nyerere haupingwi, unapingwa huu tu...tuache hizo..tutakufa nacho ...kijiba cha roho
nyerere alitufanyia nini na Huyu katufanyia nini.....
Ni kawaida kwa Tanzania watendaji wa serikali kujipendekeza kwa wanasiasa ili pindi wanapostaafu tu basi retirement benefit zake ni kupewa nafasi za ubalozi na kuwekwa katika Tume mbalimbali