Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

Kodi ipi wewe? kodi Ruge kauza kapata pesa kalipa kodi.

Kodi ya capital gains Tax, Habinder haimuhusu.

Pesa za escrow hazina kodi.

Kama itatokea katika mahesabu kuwa IPTL anadaiwa, iwe kodi au chochote kingine kile PAP katowa guarantee ya kimahakama kuwa atalipa yeye.

Hiyo kodi uisemayo kodi ipi?

hili suala la KODI kamuulize mumeo Mwigulu Nchemba atakufafanulia kinagaubaga.
 
Last edited by a moderator:
Sio Wachagga tu, ni madalali wote kisiasa na kibiashara nchi hii ambao wamenufaiki sana kupitia wizara ya Nishati na Madini kabla ya ujio wa Prof Muhongo na Katibu Mkuu Maswe.

Utajiri mkubwa wa sasa wa Mzee Mengi upo kwenye wizara hii. Utajiri wa Nimrod Mkono kwa sehemu kubwa umechangiwa na TANESCO iliyo chini ya wizara hii. WanaSIASA walioko kwenye payroll za hawa jamaa wawili mnawajua angalau kwa kauli na matendo yao!

Mbona hujasema utajiri wa Seth na JR upo wizara gani?

Mhongo anaweza aka survive hii miezi iliyobaki ya uwaziri na ubunge wa kuteuliwa na Kikwete...Ila safari yake ya kisiasa ndo itaishia hapo.

Yeyote atakayekuwa Rais 2015 sitegemei atakosa mbadala wa huyu profesa mwenye dharau kwa watanzania..
 
na ninakumbuka ni huyuhuyu mwanamke mwenye ASHKI FaizaFoxy ndiye alikuwa anatamba kwamba hakuna atakayeachia ngazi. sasa uso umemkauka kama panzi anayemezwa na kinyonga. huyu mwanamke ni wa ajabu sana, hasa anapokuwa na ASHKI, sijui hana mume (hata wa kukodi) ampunguze hamu!

Na mpaka leo nnatamba.

Mambo mazuri kabisa.
 
Hii nchi hatuwezi kuendelea ku-entertain watu wanaojiliza liza kila siku wakitaka waonekane innocent wakati ni madalali ya kimataifa yaliyokubuhu katika nyanja za kidalali! Hivi wewe ni mtu gani unayegombana na watu kadhaa... wanasiasa na wafanyabiashara wenzako halafu kila siku unajificha kwenye kiota cha uzalendo na kwamba wengine wote unaogombana nao ndio mafisadi.

Ikiwa Muhongo ni dalali basi hakuna shaka yoyote kwamba Mengi ni dalali la kimataifa lililokubuhu huku kila siku likiendelea kutumia akili za mazuzu!! Kwa unafiki, anaongoza... juzi juzi tu hapa wakati TCRA wanazima mitambo ya analogy Mengi akasimama kidete eti akijifanya kutetea wananchi kwamba watanyimwa uhuru wao wa kupata habari kumbe uongo mtupu... alikuwa anataka zoezi licheleweshwe hadi ving'amuzi vya Digitek viingie sokoni!

Big up Professor Mkoma kwa kutoyumbishwa na hawa wabinafsi wanaojificha kwenye kivuli cha uzalendo.
 
Salary Slip unajichanganya, au haujalipwa mshahara kuelekea Xmas akili imevurugika. Kwanza, Ukawa "wameimaliza" vipi CCM kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wakati CCM imeshinda kwa wastani wa asilimia 75 nchi nzima? Huu ni ushindi wa Tsunami kwenye siasa popote duniani.

Pili, Muhongo "amefanya makosa" gani wakati Rais Jakaya Kikwete mwenyewe kasema pesa za Escrow SIYO ZA UMMA ni za IPTL na hakuna makosa yoyote yaliyofanyika kwa wenyewe kupewa pesa zao?

Watanzania wenzangu, msipende kufata mkumbo na kukaririshwa kama majuha kuwa kuna ufisadi wa Escrow na lazima watu wafukuzwe kazi na kufikishwa mahakamani. Muhongo afukuzwe kazi kwa lipi wakati mkuu wa nchi mwenyewe ameshasema PESA ZA ESCROW SIYO ZA UMMA. Mwacheni Muhongo aendelee kuchapa kazi. Infwact, uchunguzi wa Maswi ukiisha naye atarudishwa kazini kama kawa. Hana shida, yuko mapumziko tu sasa hivi analipwa full salary.

Sasa kama unamtetea rais kasema pesa cyo za uma kwa nn kamtimua tibaijuka na maswi kasimamishwa acha kutetea upumbavu wewe watanzania siyo wajinga kiasi hicho
 
Mbona hujasema utajiri wa Seth na JR upo wizara gani?

Mhongo anaweza aka survive hii miezi iliyobaki ya uwaziri na ubunge wa kuteuliwa na Kikwete...Ila safari yake ya kisiasa ndo itaishia hapo.

Yeyote atakayekuwa Rais 2015 sitegemei atakosa mbadala wa huyu profesa mwenye dharau kwa watanzania..
Prof Muhongo sio mwanaSIASA. Ndio sababu amekwaruzana sana wanaSIASA ambao kwao kuelezwa ukweli ni kutukanwa. Muhongo aliletwa wizara ile kunyoosha baadhi ya mambo ambayo katika kutekeleza majukumu yake akajikwaa kwa watu kama akina Mengi na baadae Mukono. Asingepona.

Madalali wa kisiasa na wafanyabiashara "wazawa" nao wakakumbana na kauli nzito zenye takwimu kutoka kwa Prof Muhongo. Hawa nao wakatengeneza bifu la ajabu kwa Muhongo. Nafasi ya escrow ilipopatikana tu mashambulizi ya nguvu yakaanza kutoka kila upande na kila kona.

Unaikumbuka siku ile Prof Muhongo anamuumbua OleSendeka na divisheni ZERO yake ya kidato cha sita? Unakumbuka pia siku Muhongo ameweka wazi idadi ya vitalu vya madini anavyomiliki Mzee Mengi ambavyo vikiwekwa pamoja ni sawa na mikoa 89 ya Kilimanjaro au Dar es Salaam 4?

Huyo ndie Prof Muhongo. Ataondoka pale wizarani lakini watu makini wa nchi hii watamkumbuka sana.
 
na ninakumbuka ni huyuhuyu mwanamke mwenye ASHKI FaizaFoxy ndiye alikuwa anatamba kwamba hakuna atakayeachia ngazi. sasa uso umemkauka kama panzi anayemezwa na kinyonga. huyu mwanamke ni wa ajabu sana, hasa anapokuwa na ASHKI, sijui hana mume (hata wa kukodi) ampunguze hamu!
Profesa TD akibanwa sana huwa haachi kuwashangaza hivi vibibi na maamuzi yake
 
Last edited by a moderator:
Prof Muhongo sio mwanaSIASA. Ndio sababu amekwaruzana sana wanaSIASA ambao kwao kuelezwa ukweli ni kutukanwa. Muhongo aliletwa wizara ile kunyoosha baadhi ya mambo ambayo katika kutekeleza majukumu yake akajikwaa kwa watu kama akina Mengi na baadae Mukono. Asingepona.

Madalali wa kisiasa na wafanyabiashara "wazawa" nao wakakumbana na kauli nzito zenye takwimu kutoka kwa Prof Muhongo. Hawa nao wakatengeneza bifu la ajabu kwa Muhongo. Nafasi ya escrow ilipopatikana tu mashambulizi ya nguvu yakaanza kutoka kila upande na kila kona.

Unaikumbuka siku ile Prof Muhongo anamuumbua OleSendeka na divisheni ZERO yake ya kidato cha sita? Unakumbuka pia siku Muhongo ameweka wazi idadi ya vitalu vya madini anavyomiliki Mzee Mengi ambavyo vikiwekwa pamoja ni sawa na mikoa 89 ya Kilimanjaro au Dar es Salaam 4?

Huyo ndie Prof Muhongo. Ataondoka pale wizarani lakini watu makini wa nchi hii watamkumbuka sana.

Najua mhongo ana mahawara wengi, wewe ni hawara wake wa ngapi?
 
hivi ktk hii katiba mpya kipengele cha Rais kuteua wabunge wa viti maalum kipo au kimeödolewa?
 
Sasa kama unamtetea rais kasema pesa cyo za uma kwa nn kamtimua tibaijuka na maswi kasimamishwa acha kutetea upumbavu wewe watanzania siyo wajinga kiasi hicho

Mkuu tatizo mijitu haitaki kufikiri hata chembe! Nahisi hata kuhusu 'wake zao' kuna watu wanawapangia!
 
Hii nchi hatuwezi kuendelea ku-entertain watu wanaojiliza liza kila siku wakitaka waonekane innocent wakati ni madalali ya kimataifa yaliyokubuhu katika nyanja za kidalali! Hivi wewe ni mtu gani unayegombana na watu kadhaa... wanasiasa na wafanyabiashara wenzako halafu kila siku unajificha kwenye kiota cha uzalendo na kwamba wengine wote unaogombana nao ndio mafisadi.

Ikiwa Muhongo ni dalali basi hakuna shaka yoyote kwamba Mengi ni dalali la kimataifa lililokubuhu huku kila siku likiendelea kutumia akili za mazuzu!! Kwa unafiki, anaongoza... juzi juzi tu hapa wakati TCRA wanazima mitambo ya analogy Mengi akasimama kidete eti akijifanya kutetea wananchi kwamba watanyimwa uhuru wao wa kupata habari kumbe uongo mtupu... alikuwa anataka zoezi licheleweshwe hadi ving'amuzi vya Digitek viingie sokoni!

Big up Professor Mkoma kwa kutoyumbishwa na hawa wabinafsi wanaojificha kwenye kivuli cha uzalendo.
Mzee wetu Mengi ni mbinafsi na fisadi wa kutisha nchi hii. Fisadi Rostam aliwahi kumwita fisadi nyangumi kwa alivyoitenda NBC yetu wakati huo ikiwa bado ni taasisi ya UMMA. Watu wanasahau haraka nchi hii!
 
Sio kwamba ni kusahau, watu ni mazuzu... wanadanganyika kirahisi! Siku ameikosa Kilimanjaro Hotel alilalamika nchi nzima ikapata habari kwamba Mengi ameonewa! Miaka takribani kumi imepita na Mengi hatujasikia amewekeza kwenye sekta za mahoteli... wenye akili zao wanajiuliza, hivi kweli huyu Mengi aliitaka Kilimanjaro Hotel ili awekeze kwenye sekta ya mahoteli au alitaka ainunue kisha aipige bei ili maandiko kwenye safari yake ya udalali yapate kutimia...
 
Prof Muhongo sio mwanaSIASA. Ndio sababu amekwaruzana sana wanaSIASA ambao kwao kuelezwa ukweli ni kutukanwa. Muhongo aliletwa wizara ile kunyoosha baadhi ya mambo ambayo katika kutekeleza majukumu yake akajikwaa kwa watu kama akina Mengi na baadae Mukono. Asingepona.

Madalali wa kisiasa na wafanyabiashara "wazawa" nao wakakumbana na kauli nzito zenye takwimu kutoka kwa Prof Muhongo. Hawa nao wakatengeneza bifu la ajabu kwa Muhongo. Nafasi ya escrow ilipopatikana tu mashambulizi ya nguvu yakaanza kutoka kila upande na kila kona.

Unaikumbuka siku ile Prof Muhongo anamuumbua OleSendeka na divisheni ZERO yake ya kidato cha sita? Unakumbuka pia siku Muhongo ameweka wazi idadi ya vitalu vya madini anavyomiliki Mzee Mengi ambavyo vikiwekwa pamoja ni sawa na mikoa 89 ya Kilimanjaro au Dar es Salaam 4?

Huyo ndie Prof Muhongo. Ataondoka pale wizarani lakini watu makini wa nchi hii watamkumbuka sana.

Nayakumbuka pia matamanio yake kwamba sisi tubaki kuwekeza kwenye kukamua matunda na kutengeneza juisi maana ndio uwezo wetu unaishia hapo
 
Do you know, x-CAG is from which tribe? PAC committee were REG's solders, the man paid them alot of money

you idiot from CCM,stop planting tribal hate in your views.tz is not entertaining tribelism.cant you comment without associating tribes?
 
Mtoa mada ameteleza kidogo tu ila wengi wetu tumemuelewa, cha kuelewa hapa ni: hasara ya mtu yeyote ni faida ya mwingine, Prof Muhongo amekosea na Mengi anatake advantage, likewise ccm inapokosea upinzani wanatake advantage. Sijui kwanini madudu ameyafanya Prof Muhongo then Mengi analaumiwa kila kukicha
Mhongo hayupo peke yake sakata linawahusu Gavana,Waziri wa fedha Waziri wa viwanda na biashara na wengine kibao, cha Ajabu ni kwamba Mengi kamkomalia Mhongo peke yake tu
 
Back
Top Bottom