kapongoliso
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,356
- 493
Watu wanahindwa ku-articulate history. Mengi ni kada wa CCM tangu izaliwe. Mengi amebebwa sana na CCM tena through rough water 1970s to 1990s na ni kipindi biahara zake zilishamiri hadi hapo alipo sasa in the spirit scratch my back I will scratch yours. Sasa watu kama wakina Mhongo wanadhani wanaweza kucheza na Mengi kirahisi hivyo. I tell you wewe will perish and Mengi will remain intact and stronger. Uliza akina Mailingi, walipata kuzozana na mengi wapo wapi sasa? Kama huzijui dynamics za CCM utaishia pabaya sana kama wanavyoisha Muhongo, Tibaijuka etc. Leo UVCCM wameanza kumsukumia madongo Tibaijuka baada ya kutimuliwa uwaziri baada ya mwezi watamtaka aachie ngazi CC ya CCM kwa ukoefu wa maadili.