kwani bado hajachunguzwa? Kamati ya zitto walimhukumu bila kuchunguza? Na ripoti za cag na takukuru zilizomhukumu sio za kiuchunguzi? Nchi hii ina mijitu mitutusa sana i see!
muhongo afilisiwe kwa kujipa jukumu la udalali katika rasilimali za umma,ila mengi ana kazi kweli kweli naona muhongo ameamua kumchukua marato na leo wapo naye ziara ili amsaidie mapambano dhidi ya bosi wake