kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,343
- 13,424
Kwa nini akemewe? Yeye ndiyo anakemea JK ni mtu mwenye nguvu kuliko Watanzania wote ni Rais na Mwenyekiti wa chama
Ni nguvu zipi unazo zizungumzia?
Kwa nini akemewe? Yeye ndiyo anakemea JK ni mtu mwenye nguvu kuliko Watanzania wote ni Rais na Mwenyekiti wa chama
Vijana wa mengi mnahangaika sana kumchafua muhongo lakini mengi anawalipa shilingi ngapi kufanya haya wenzenu wabunge walipewa 300 milioni wakagawana nyie mnapewa kiasi gani.
acha sumu ya ukabila nchi inaliwa kisa tu mtu mmoja wa Mara unataka kuchonganisha makabil! Ni upumbavu Muhongo anapaswa kuondoka na kiburi chakeSio Wachagga tu, ni madalali wote kisiasa na kibiashara nchi hii ambao wamenufaiki sana kupitia wizara ya Nishati na Madini kabla ya ujio wa Prof Muhongo na Katibu Mkuu Maswe.
Utajiri mkubwa wa sasa wa Mzee Mengi upo kwenye wizara hii. Utajiri wa Nimrod Mkono kwa sehemu kubwa umechangiwa na TANESCO iliyo chini ya wizara hii. WanaSIASA walioko kwenye payroll za hawa jamaa wawili mnawajua angalau kwa kauli na matendo yao!
sawa, endelea kutamba hadi octoba 2015.
Hakuwa na maana hiyo. Anafahamu uwezo wetu WATANZANIA ambao sio madalali wala matapeli. Uchimbaji madini na gas sio sawa na kutengeneza cocacola under licence.Nayakumbuka pia matamanio yake kwamba sisi tubaki kuwekeza kwenye kukamua matunda na kutengeneza juisi maana ndio uwezo wetu unaishia hapo
Ukabila upi tena? Mbona hata Nimrod Mkono ni wa Mara na ndie muasisi na mfadhili wa sakata hili la escrow ambalo limewaunguza wenzake wa Mara akina Prof Muhongo, Jaji Werema na Maswe?acha sumu ya ukabila nchi inaliwa kisa tu mtu mmoja wa Mara unataka kuchonganisha makabil! Ni upumbavu Muhongo anapaswa kuondoka na kiburi chake
Ukabila upi tena? Mbona hata Nimrod Mkono ni wa Mara na ndie muasisi na mfadhili wa sakata hili la escrow ambalo limewaunguza wenzake wa Mara akina Prof Muhongo, Jaji Werema na Maswe?
Kuna mtu ana kiburi kuliko Mzee Mengi nchi hii?
Kwenye Isidingo...Kuna mtu anaitwa Barker,Barker Hainnes....na Mwingine George Zamdela A.K.A papa G.....
Katika tamthiliya ya ESCROW mnawafananisha na wepi?
si jk , muhongo wala mwanamtandao yeyote anayemuweza mzee mengi , tunatambua kwamba hawamheshimu lakini WANAMUOGOPA vibaya sana !
acha sumu ya ukabila nchi inaliwa kisa tu mtu mmoja wa Mara unataka kuchonganisha makabil! Ni upumbavu Muhongo anapaswa kuondoka na kiburi chake
Nimrod Mkono alikuwa mwanasheria kwa sakata hili hawezi kuhukumiwa ukizangatia kesi alipewa mwanasheria mwingine.Ukabila upi tena? Mbona hata Nimrod Mkono ni wa Mara na ndie muasisi na mfadhili wa sakata hili la escrow ambalo limewaunguza wenzake wa Mara akina Prof Muhongo, Jaji Werema na Maswe?
Kuna mtu ana kiburi kuliko Mzee Mengi nchi hii?
If it was easy to sack out Tibaijuka, why not easy to do the same to Muhongo? Have you heard about Muhongo's claim to why he does not want to step down?
Anaeisifia mvua ujue imemnyeshea.............Aliwahi kuku Goni mpaka umwite maoni?
uchunguzi gani wakati CAG na PCCB wameshamaliza? kwanini amsimamishe maswi amwache Muongo, kwanini amsimamishe tibaijuka wakati wahusika wakuu kama Muongo wasubiri uchunguzi?
Mengi kacheza vizuri.. yule Muhongo nina wasiwasi na uprofesa wake
Aliwahi kuku Goni mpaka umwite maoni?
Huu uchunguzi mwingine unanipa shida sana. Ina maana CAG aliyeteuliwa na mamlaka ya uteuzi haamini hadi mtu mwingine afanye uchunguzi? Huyu mwingine ana nini ambacho CAG aliyepita hakuwa nacho? Hawa washauri wa rais ni wa kufukuza kazi wote.
Ni kweli Mengi na Muhongo inaonekana wana ugomvi wao binafsi ila pamoja na ugomvi huo, alichofanya Mengi ni ku-take advantage tu ya makosa ya Muhongo kummaliza.Hii maana yake ni kwamba,Muhongo bado ana makosa yake mwenyewe na Mengi hahusiki na makosa hayo hivyo wa kulaumiwa hapa ni Muhongo mwenyewe na wala si Mengi.
Alichofanya Mengi ni sawa na kinachofanywa na vyama vya upinzani nchini ku-take advantage ya makosa ya CCM kuimaliza kisiasa kama jinsi UKAWA walivyo-take advantage ya sakata la Escrow kuimaliza CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa hivi karibuni.
Kwa maana hiyo,kama ambavyo CCM hawawezi kuilaumu UKAWA kwa makosa yao wenyewe,vivyo hivyo,Muhongo hawezi kumlaumu Mengi kwa makosa yake mwenyewe.
Swali la msingi hapa;je Muhongo hakutena makosa hayo au alitenda na kama alitenda, Mengi anaingiaje hapo?
Na kama Mengi anashabikia makosa ya Muhongo; je ana tofauti gani na sisi wengine tunaofanya hivyo?
Kwahiyo kwa Kikwete kuendelea kumlinda Muhongo, maana yake ni kuihujumu CCM na wala si kumkomoa Mengi kama inavyofikirika na wengi.