Mengi hashabikii makosa ya Muhongo, anafadhili kuhalalisha Muhongo aonekane mwenye makosa
Wewe dada mpuuzi sana toka umechukuliwa na Padre Mzinifu umesahau hata kwenuSie huku mtaani tupo na chadema tu, waache wawakumbatie wezi wao
Ngoma itanoga zaidi mwaka 2015.
Hahahahahaaaaaaa! Naona mnamlazimisha JK kiaina. Huku mnasema JK ni dhaifu, huku mnamuomba afanye maamuzi kwa matakwa ya fisadi MengiKikwete hayupo makini, yupo vululu vululu, wasiwasi tele. Anadhani lile kundi la waovu lililomzunguka pale Ofisi kuu ataluwanalo siku zote. Amejitoa ufahamu kuwa mwaka 2016 kila mtu na lwake. Nadhani amelewa madaraka na wasiwasi tele. Stuka Mh.Rais, kamata mwizi man, acha wasiwasi!!.
Mengi hana usmat wowote. Yeye anachojua ni kubadilisha vibintiIf he think he's smart,Mengi is smatter.
Sie huku mtaani tupo na chadema tu, waache wawakumbatie wezi wao
Ngoma itanoga zaidi mwaka 2015.
Hahahahahaaaaaaa! Naona mnamlazimisha JK kiaina. Huku mnasema JK ni dhaifu, huku mnamuomba afanye maamuzi kwa matakwa ya fisadi Mengi
u mean mengi hawez kununua juisi?Mengi anachuki na serikali ukiacha vitalu siku hizi haitwi tena kunywa juice ikulu wageni wakija inamuuma hasa hasa alipokuja obama.
Aliwahi kuku Goni mpaka umwite maoni?
Naona unahukumu bila uhakika.
Makosa ya kuhukumu bila kuwa na uhakika ndiyo ambayo Kikwete hayafanyi na kasema wazi juzi, bado anachunguza kuhusu Mhongo ili aweze kufanya maamuzi.
Ni nini usichokielewa?
Mengi hashabikii makosa ya Muhongo, anafadhili kuhalalisha Muhongo aonekane mwenye makosa
utakula banMkuu Vicky Ka.ma.ta mbona una hasira sana dada yangu punguza wivu sisi tunajadili mambo ya nchi wenzenu tumepigika sana huku mtaani tumechoka
Salary Slip huyu huyu ninaemfahamu mimi au akaunti imeingiliwa? Kweli mungu yu karibu kurudi.