Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

Hivi kwa nini Wachagga wanamchukia sana Prof Muhongo?
Sio Wachagga tu, ni madalali wote kisiasa na kibiashara nchi hii ambao wamenufaiki sana kupitia wizara ya Nishati na Madini kabla ya ujio wa Prof Muhongo na Katibu Mkuu Maswe.

Utajiri mkubwa wa sasa wa Mzee Mengi upo kwenye wizara hii. Utajiri wa Nimrod Mkono kwa sehemu kubwa umechangiwa na TANESCO iliyo chini ya wizara hii. WanaSIASA walioko kwenye payroll za hawa jamaa wawili mnawajua angalau kwa kauli na matendo yao!
 
Werema is out.
Tibaijuka is out.
Maswi is out( japo kupisha uchunguzi)
Nakuhakikishia Muhongo will follow the same path.
Utaumbuka na kiherehere chako mwanamke.

na ninakumbuka ni huyuhuyu mwanamke mwenye ASHKI FaizaFoxy ndiye alikuwa anatamba kwamba hakuna atakayeachia ngazi. sasa uso umemkauka kama panzi anayemezwa na kinyonga. huyu mwanamke ni wa ajabu sana, hasa anapokuwa na ASHKI, sijui hana mume (hata wa kukodi) ampunguze hamu!
 
Last edited by a moderator:
Makosa ya Muhongo ni yapi? Maana hata Rais kasema zile pesa si za umma. Na PAC walimtuhumu kuwa Muhongo kadanganya kuwa zile pesa si za umma. Hata CAG naye kasema zhuwezi kusema zile pesa ni za Tanesco (UMMA) Rejea statement hii kwenye taarifa ya CAG “As a result, the deposit balance in Escrow account does not meet the definition of an asset of the Company and therefore an adjustment has been made to de-recognize the asset and related liability to the tune of the amounts available in the Escrow account” .

na ile kodi anayoidai mwigulu sio pesa za UMMA ni pesa za MAMAKO?
 
#tego kwa CCM hilo / ccm inachezewa akili na "genius persons" jinasueni haraka!
 
Last edited by a moderator:
kwaiyo hata kodi ya serikali pia si pesa ya umma, ivi waTZ MNAPOTOSHA kwa faida ya nani? HUYO rais UNAYEMSEMA pi kasema haya mambo yanamchanganya kuhusu mauzo ya hisa 70 ya mechmer bado haelewi alafu mnatetea tuuuu ilimradi, IPTL ni MRADI TATA tangu siku ya kwanza mkataba huo umewekwa juu ya meza kujadiliwa mpaka kampuni inauzwa bado ni utata mtupu, kuitetea IPTL lazima kwanza uiweke akili yako mfukoni hakuna mradi umetuumiza waTZ kama huu maradi ni VEMA mzee MWINYI MKAPA na KIKWETE WAWAOMBE RADHI WA TZ KWA KUWALETEA HILI ZIMWI LINALOWAMALIZA, kwani mpaka sasa wanalipwa pesa nyingi mno kwa siku

mkuu, hoja kama hii huwa MATUTUSA wa CCM kama vile MSALANI, mjepo, laki si pesa, FaizaFoxy, Ritz, Lizaboni, MwanaDiwani, et al huwa hawataki kabisa kuisikia. akili zao wanazisahau nyumbani kwa makusudi...wakiwa kule Lumumba wanatumia akili za mwenyekiti wao!
 
Last edited by a moderator:
Wapi kwenye report ya cag amesema muhongo ana makosa?ni makosa gani hayo,unaweza kuyataja na ukurasa wake?

Pac ni kikundi cha kihuni,kilihongwa na mengi ili wamtungie shutuma muhongo.

Muhongo ni chartered geologist na mengi ni chartered mwizi,dalali wa mali za umma huku akitumia vyombo vyake kuudanganya umma.

nakuunga mkono 100% mkuu. lazima tukitetee chama ili watanzania wasione kwamba CCM inalea mafisadi. kwanza namshangaa JK kumkubalia werema ajiudhuru na kumuachisha kazi tibaijuka. alipaswa kuwatetea ili kuimarisha chama ili hatimaye tushinde ushindi wa kishindo mwaka 2015. umeona eeh? nashauri iitishwe CC imshauri kikwete awarejeshe kazini tibaijuka na werema na aache kumchunguza maswi. unalionaje hili?
 
- Ok mkuu tatizo la post yako ni kwamba umeandika kwa kutumia maneno ya mtaani zaidi Rais haongozi kwa kutumia maneno ya mtaani, Mengi hajatajwa kwenye ripoti ya Bunge au ya CAG hahusiki kabisa sijui hata umemletaje kwenye this ishu. Rais amesema bado kuna uchunguzi unafanyika ndio maana Katibu Mkuu amewekwa pembeni kupisha uchunguzi, sasa kabla haujisha wewe umeshatoa hukumu please jifunze kusubiri uchunguzi uishe kwanza.

Le Mutuz

rudia kusoma uzi...wewe ndiye hujamuelewa mtoa mada. ukubwa wa mwili wako is inversely proportional to your level of thinking. wewe ndiye umetoka nje ya mada.
 
Kwi kwi kwi kwi, faizafoxy bwana, eti Mhe, bado anafanya uchunguzi ili achukue hatua zaidi, mbona kila kitu kipo wasi hapo. Na uchunguzi wa Jairo aliyekuwa katibu mkuu umeishia wapi

Anachunguza nini wakati ameishatoa hukumu kwamba pesa za Escrow ni mali ya IPTL? huyu rais atakuwa chizy sio bure! alichotakiwa kufanya ni kumrejesha werema kazini na kutomuwajibisha tibaijuka.
cc FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
muhongo afilisiwe kwa kujipa jukumu la udalali katika rasilimali za umma,ila mengi ana kazi kweli kweli naona muhongo ameamua kumchukua marato na leo wapo naye ziara ili amsaidie mapambano dhidi ya bosi wake

marato yule ni mwandishi wa habari yupo kazini huko Muhongo lazim aondoke kama mwinzi mwenzake Tibaijuka
 
muhongo afilisiwe kwa kujipa jukumu la udalali katika rasilimali za umma,ila mengi ana kazi kweli kweli naona muhongo ameamua kumchukua marato na leo wapo naye ziara ili amsaidie mapambano dhidi ya bosi wake

marato yule ni mwandishi wa habari yupo kazini huko Muhongo lazima aondoke kama mwinzi mwenzake Anna Tibaijuka
 
Umeanza kuchanganyikiwa broo!!!hahahahaaaa! Sas unasema mengi kaiba vitalu vya madini?? Halafu akavificha wapi?kwa hiyo safari hii Mengi tena alitaka KUIBA vitalu vya gesi na muhongo akamuona akivificha kisha akamnyanganya sio? Kweli??wewe ni mwongo?u mjinga?au vyote kwa pamoja?hii stori ukimpigia mwanao wa miaka miwili atakudharau milele.

asante mkuu kwa kumbalaza huyo mwehu. majizi kama haya ndiyo yanasababisha nchi hii isipate ukombozi.
 
Anachunguza nini wakati ameishatoa hukumu kwamba pesa za Escrow ni mali ya IPTL? huyu rais atakuwa chizy sio bure! alichotakiwa kufanya ni kumrejesha werema kazini na kutomuwajibisha tibaijuka.
cc FaizaFoxy

Mna masikio lakini hayasikii. Hilo ndiyo tatizo lenu kubwa.

Mnazidi kunihakikishia kuwa shule mlizokwenda mlienda kusomea ujinga.
 
kwaiyo hata kodi ya serikali pia si pesa ya umma, ivi waTZ MNAPOTOSHA kwa faida ya nani? HUYO rais UNAYEMSEMA pi kasema haya mambo yanamchanganya kuhusu mauzo ya hisa 70 ya mechmer bado haelewi alafu mnatetea tuuuu ilimradi, IPTL ni MRADI TATA tangu siku ya kwanza mkataba huo umewekwa juu ya meza kujadiliwa mpaka kampuni inauzwa bado ni utata mtupu, kuitetea IPTL lazima kwanza uiweke akili yako mfukoni hakuna mradi umetuumiza waTZ kama huu maradi ni VEMA mzee MWINYI MKAPA na KIKWETE WAWAOMBE RADHI WA TZ KWA KUWALETEA HILI ZIMWI LINALOWAMALIZA, kwani mpaka sasa wanalipwa pesa nyingi mno kwa siku

Kodi ipi wewe? kodi Ruge kauza kapata pesa kalipa kodi.

Kodi ya capital gains Tax, Habinder haimuhusu.

Pesa za escrow hazina kodi.

Kama itatokea katika mahesabu kuwa IPTL anadaiwa, iwe kodi au chochote kingine kile PAP katowa guarantee ya kimahakama kuwa atalipa yeye.

Hiyo kodi uisemayo kodi ipi?
 
Mna masikio lakini hayasikii. Hilo ndiyo tatizo lenu kubwa.

Mnazidi kunihakikishia kuwa shule mlizokwenda mlienda kusomea ujinga.

tetea hoja, acha kutoa mipasho wewe *******. tuambie tibaijuka kafukuzwa kwa kosa gani na maswi kasimamishwa kwa 7bu zipi wakati profesa kasema pesa za escrow ni za IPTL (kama werema anavyoamini hadi leo).
 
Back
Top Bottom