Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,785
- 165,475
Ni kweli Mengi na Muhongo inaonekana wana ugomvi wao binafsi ila pamoja na ugomvi huo, alichofanya Mengi ni ku-take advantage tu ya makosa ya Muhongo kummaliza.Hii maana yake ni kwamba,Muhongo bado ana makosa yake mwenyewe na Mengi hahusiki na makosa hayo hivyo wa kulaumiwa hapa ni Muhongo mwenyewe na wala si Mengi.
Alichofanya Mengi ni sawa na kinachofanywa na vyama vya upinzani nchini ku-take advantage ya makosa ya CCM kuimaliza kisiasa kama jinsi UKAWA walivyo-take advantage ya sakata la Escrow kuimaliza CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa hivi karibuni.
Kwa maana hiyo,kama ambavyo CCM hawawezi kuilaumu UKAWA kwa makosa yao wenyewe,vivyo hivyo,Muhongo hawezi kumlaumu Mengi kwa makosa yake mwenyewe.
Swali la msingi hapa;je Muhongo hakutena makosa hayo au alitenda na kama alitenda, Mengi anaingiaje hapo?
Na kama Mengi anashabikia makosa ya Muhongo; je ana tofauti gani na sisi wengine tunaofanya hivyo?
Kwahiyo kwa Kikwete kuendelea kumlinda Muhongo, maana yake ni kuihujumu CCM na wala si kumkomoa Mengi kama inavyofikirika na wengi.