Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

Guys, I am lost. How does Mengi come here? Let us assume that it is true Mengi and Muhongo have their own diffrences. How can these affect president's decision? Please educate me on this.
Go and read this book "ECONOMIC HITMAN", you will know how MENGI affect president's decission
 
Ukweli ni kuwa Mengi halipi Annual rent za viwanja anavyomiliki vya madini , anafanya udalali wa viwanja vya madini na haviendelezi sasa akiambiwa ukweli anakuja juu, iweje tajiri mkubwa kama yeye asilipe wakati wadogo wanalipa hapa Muhongo yupo sahihi.

Mengi anatumia Media vibaya kuchafua watu kwa faida yake, tuwe wakweli na nchi itaendelea.
 
Kwamba nchi itaendelea kwa ukweli wa mengi tu? Mnona uwongo kila kona na je kama halipi sheria si zipo zifuatwe? Je media zake ziko juu ya sheria?????
 
Ukweli ni kuwa Mengi halipi Annual rent za viwanja anavyomiliki vya madini , anafanya udalali wa viwanja vya madini na haviendelezi sasa akiambiwa ukweli anakuja juu, iweje tajiri mkubwa kama yeye asilipe wakati wadogo wanalipa hapa Muhongo yupo sahihi.

Mengi anatumia Media vibaya kuchafua watu kwa faida yake, tuwe wakweli na nchi itaendelea.

Mengi ni mroho wa mali, anatamani rasilimali zote za nchi azimiliki peke yake
 
Vijana wa mengi mnahangaika sana kumchafua muhongo lakini mengi anawalipa shilingi ngapi kufanya haya wenzenu wabunge walipewa 300 milioni wakagawana nyie mnapewa kiasi gani.
 
“Maamuzi yake hayakutarajiwa na wananchi, ripoti ya uchunguzi ya CAG imebainisha kuwa fedha za escrow ni za umma, sasa kama ni za IPTL uchunguzi wa nini?”.Profesa Mpangala on Mwananchi la 23/12/2014
 
Ukweli ni kuwa Mengi halipi Annual rent za viwanja anavyomiliki vya madini , anafanya udalali wa viwanja vya madini na haviendelezi sasa akiambiwa ukweli anakuja juu, iweje tajiri mkubwa kama yeye asilipe wakati wadogo wanalipa hapa Muhongo yupo sahihi.

Mengi anatumia Media vibaya kuchafua watu kwa faida yake, tuwe wakweli na nchi itaendelea.
Mengi ni mwizi kitambo sana siyo mtu wa kumchekea hata kidogo amejilimbikizia mali kiutapeli pasipo kufuata utaratibu kitu ambacho muhongo hajataka kifanyike ndiyo mengi anamchukia muhongo balaa.
 
Profesa Kitila Mkumbo wa UDSM alisema: "Profesa Muhongo anatakiwa kuachia ngazi. Kauli ya Rais kwamba ‘anamweka kiporo' maana yake anamtaka ajiuzulu bila aibu kama iliyomkuta Profesa Tibaijuka. Rais hakuyadharau maazimio ya Bunge kama viongozi wengine walivyoyadharau. Wote waliotajwa katika ripoti ile wanatakiwa kuachia ngazi na si kusubiri mpaka kutimuliwa."Mwananchi 23/12/2014
 
Ni kweli Mengi na Muhongo inaonekana wana ugomvi wao binafsi ila pamoja na ugomvi huo, alichofanya Mengi ni ku-take advantage tu ya makosa ya Muhongo kummaliza.Hii maana yake ni kwamba,Muhongo bado ana makosa yake mwenyewe na Mengi hahusiki na makosa hayo hivyo wa kulaumiwa hapa ni Muhongo mwenyewe na wala si Mengi.

Alichofanya Mengi ni sawa na kinachofanywa na vyama vya upinzani nchini ku-take advantage ya makosa ya CCM kuimaliza kisiasa kama jinsi UKAWA walivyo-take advantage ya sakata la Escrow kuimaliza CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa hivi karibuni.

Kwa maana hiyo,kama ambavyo CCM hawawezi kuilaumu UKAWA kwa makosa yao wenyewe,vivyo hivyo,Muhongo hawezi kumlaumu Mengi kwa makosa yake mwenyewe.

Swali la msingi hapa;je Muhongo hakutena makosa hayo au alitenda na kama alitenda, Mengi anaingiaje hapo?

Na kama Mengi anashabikia makosa ya Muhongo; je ana tofauti gani na sisi wengine tunaofanya hivyo?

Kwahiyo kwa Kikwete kuendelea kumlinda Muhongo, maana yake ni kuihujumu CCM na wala si kumkomoa Mengi kama inavyofikirika na wengi.

wala MENGI hana ugomvi binafsi na MUHONGO, MUHONGO ana ugomvi na waTZ wote waliokuwa wanaona ni vema pia waTZ wakawekeza kwenye GESI matokeo yake akasema hatuwezi labada tufanye biashara ya juice kwa yeyote mwenye akili atakubaliana nami kuwa muhongo aliwatukana wa TZ wote kuwa hawawezi, kiburi dharau majigambo majisifu ndio hayo yanamwandama MUHONGO na yatamfuta kabisa kwenye siasa za TZ kama asipojirekebisha, ajifunze kuheshimu watu kusoma si kila kitu.
 
"Maamuzi yake hayakutarajiwa na wananchi, ripoti ya uchunguzi ya CAG imebainisha kuwa fedha za escrow ni za umma, sasa kama ni za IPTL uchunguzi wa nini?".Profesa Mpangala on Mwananchi la 23/12/2014
Huyo CAG unayemzungumzia pengine ni waukawa kwani hakuna page hata moja kwenye tarifa ya CAG inayosema zile pesa ni za umma.
 
"Kuhusu Maswi na Profesa Muhongo wameachwa, ila katika kipindi hiki ambacho wanachunguzwa walitakiwa kuwekwa kando mpaka uchunguzi dhidi yao utakapomalizika," alisema Dr.Hellen-Kijo Bisimba
 
Back
Top Bottom