Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

Kikwete, humkomoi Mengi bali unaikomoa CCM

maswali magumu kwa rais
1:kama escrow sio hela za umma kwanini Benki kuu iliomba kibali cha AG ili fedha zitoke?
2:kama ni hela halali sio za umma kwanini watu wachukue hela bila kuandika majina. walikua wanaogopa nini?
3.kwanini Takukuru walipouilizwa walisema za umma?
4.kwanini AG hakusema ni za IPTL moja kwa moja.ila zinaweza zikawemo za umma na za IPTL
5.NI KAMPUNI GANI DUNIANI duniani inayoweza kuja kuwekeza kwa gharama zake ikadai hela zake ikapewa ikaanza kugawa faida kwa maaskofu.mawaziri watu binafsi kama pipi .hivi mitambo yao inatumia maji.au Waikiki's wa hii mitambo ni malaika na manabii? Tanzania nchi yangu nakupendaaa sanaa .lakini unaoza na kunuka
 
Kaka umeuliza maswali magumu na JK.hawezi kukujibu hata kidogo wakati hata yeye ni memba wa ESCROW sasa ata kujibu nini kama fedha ilikuwa siyo ya umma nini kimepelekea AG kujiuzuru nini kimefanya mmufukuze TIBAIJUKA kama sio fedha ya uma kwanini Katibu mkuu Nishati na Madini ELIAKIM MASWI msimamishe kazi hivi kama hela zilikuwa sio za umma za watu wengine wamechukua hela zao inawezekana vip wanaowajibika wawajibike watumishi wa selikali na sio watumishi wa makampuni hayo yaliowekewa hela hiyo Hivi ni kweli watanzania kusoma hatujui hata Picha nayo hatuoni kweli miaka 53 yakujitambua bado tu tu usingizini kweli na bado mnakusanya na mchango wa MAABARA huku zingine wakigawana kina TIBAIJUKA ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi ee mungu tunusuru na maajabu haya ya selikali ya wawekezaji yakiongozwa na huyu kijana wa KIKWERE
 
Atabakia kuoa wajukuu na kazaa na mapacha kwa kutumia wanaume wengine wenye sura kama yake, Masilingi,Malima,Masha,Maswi,Manji , Mhongo na Rostam ni mojawapo ambao wamepata kushiriki Ligi za Mengi japo Rostam Azizi sasa wapo pamoja baada ya kumugawia zile dola milion 300 alizouza hisa za voda kisha akatokomea pasipo kulipa Kodi lakini mengi kauchuna kwa kuwa amefaidika na mgao.

Kwa mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja si ajabu kwa sababu wamepewa nguvu zaidi ya kumiliki mwanamke mmoja,hivyo basi usione ajabu Mengi kuwa na mjukuu kama unavyo sema ila naona kama haya ni mambo binafsi!!!! sijui inakuuma nini??? hata mkulu anao wanawake kibao ambae yeye ndio mtumishi wa wananchi naona ungeanza kumshauri yeye kwanza kama ni vibaya
 
wala MENGI hana ugomvi binafsi na MUHONGO, MUHONGO ana ugomvi na waTZ wote waliokuwa wanaona ni vema pia waTZ wakawekeza kwenye GESI matokeo yake akasema hatuwezi labada tufanye biashara ya juice kwa yeyote mwenye akili atakubaliana nami kuwa muhongo aliwatukana wa TZ wote kuwa hawawezi, kiburi dharau majigambo majisifu ndio hayo yanamwandama MUHONGO na yatamfuta kabisa kwenye siasa za TZ kama asipojirekebisha, ajifunze kuheshimu watu kusoma si kila kitu.

Asante mkuu kwa kuliweka sawa hilo,jamaa ana kiburi na dharau zilizopitilizaaaa
 
Mengi utakapomjua kwamba ni mnafiki linapokuja suala la kujifanya yeye ni mpambanaji dhidi ya ufisadi, mara zote huwa anakomalia ufisadi wa wale aliokorofishana nao pekee yake! Kumbukumbu zangu zinaonesha kwamba, kama kuna wafanyabiashara ambao Mengi amewahi kuwatuhumu hadharani kwamba ni mafisadi basi ni Yusuf Manji na Rostam Aziz... hawa wote alianza kugombana nao kwanza ndipo akaanza kutumia media zake na kuwaita mafisadi... Hakuna mwenye akili timamu asiyefahamu kwamba kila panapo fisadi mfanyabiashara basi upande wake wa kuume kuna fisadi mtendaji wa serikali. Hadi leo Mengi hajauambia umma kwamba ufisadi wa Yusuf Manji na Rostam Aziz unawahusisha viongozi gani serikalini... hajauambia umma na wala hatakaa aje kuuambia coz' lengo lake yeye sio kutaja mafisadi wa nchi hii bali kuwapiga stamp ya ufisadi wabaya wake... Back in mid-1990's alipoanza kugombana na Dewji hadi kudaganya ametishiwa kuuawa... wananchi wengi walimuamini! Na kama ilivyo kawaida yake ya kutafuta public sympath, wakati wa sakata lile ghafla from nowhere akaanza kujifanya eti kuifadhili Yanga ili mradi tu wawepo watu watakamsaidia ku-play innocence! Haifahamiki, mapenzi yake kwa Yanga cjui yameishia wapi!!!

Alipokuja kugombana na akina Rostam Aziz, akakimbia na ITV yake na kwenda kupiga picha na watoto wa madrasa Kibaha! Bila aibu, akaanza kuuliza vitoto: "watoto wazuri, eti wanasema mimi ni mdini....!" Tangu hapo, wasio tayari kushikiwa akili wakamshitukia kwamba huyu mzee sio!
Yeye Kasema , swala la kufanya uchunguzi si Kazi yake, hawezi mengi akawa Mshitaki, investigator , prosecutor , judge na Nk. Swala hapa ni jinsi public institutions zilivyokufa, mengi kazi yake kamaliza
 
Prof Muongo could not even ensure that due deligence is done on PAA and even when the TANESCO Lawyer did it he instructed the Board to sack him. This is one among several failures of Prof Muongo.
 
Kuwa dalali wa PAP nal ni kosa lingine la kiongozi wa umma
 
Back
Top Bottom