Kikwete for London Family Planning summit

Kikwete for London Family Planning summit

acha uboya wewe! mbona hata wewe familia yako ninamatatizo na unafanya starehe kama kawaida ukidai unapoteza mawazo! badala ya kwenda nyumba za ibada! boya wewe

Kwa jinsi ulivyocomment,nahisi na wewe ni mmoja wa delegates wanaoambatana na JKilaza!
 
Wale wanaowasema madakitari kwanini hawamshangai huyo mtu wao,
kwa hali tete kama hii hata tz yeye anafuraha gani yakwenda kula bata huko juu.
 
nashindwa siku zote kuamini kuwa kuhudhuria matamasha/warsha au mikutano kama hii kwa kiongozi mkuu wa nchi kama kuna tija, as i knw yeye sio mtekelezaji wa mipango na mikakati kama hiyo kwanini wasingekuwa wanahudhuri wataaalamu kutoka katika wizara husika.
 
hivi kwani WIZARA YA AFYA INAKAZI GANI???:crazy:

dah! kweli tuna rais kwa mtaji huu shughuli ipo.... au atuambie kuwa yeye ni rais pia ni waziri wa afya anafanya kazi zote, wakati hata maafisa wa wizara ya afya wangeweza kwenda kutuwakilisha
 
Ndugu zangu Watanzania mbona mnasahau kuwa tuna Rais ambaye hajali tena mambo yanayotuhusu sisi kila siku. Yeye anafanya ya kufurahisha nafsi yake tu na kutatua matatizo yetu siyo suala lenye kipaumbele kwake. Ogopa mtu mwenye I don't care attitude ambayo Kikwete anayo.
 
Afadhali maana akiwepo hapa 2napata shida sana sie 2naofanya kazi maeneo ya posta ya zamani hapa.. Kila mara magari kucimamishwa ili apite.. Hatuliagi ikulu.. Kama hayupo hivi tunapeta bila ya kadhia..
 
Naomba mtuambie hii ni safari ya ngapi? Hivi hakuna mtu anayaweza kutupa gharama ya safari hizi kisha tulinganishe na tija yake. Watu wanakufa Rais yuko Londone. Only in Tanzania.
 
Da!! Hii imekaa njema sana Dr Slaa aliwai sema KUCHAGUA CCM ni KUCHAGUA KIFO naona yanatimia.
 
Kwani yeye huwa hawakilishwi,anatia aibu hadi mikutano ya wamama anaenda yeye,its shame
Wewe ukiambiwa uliwakilishe DAFU utakubali?? kwanza utaweza wewe??

Eti mikutano ya wamama........angemtuma Sophia Lion sio??
 
du! hizi safari zimezidi sasa kwa awezi tuma mwakilishi kama wizara ya afya au jamii,au hakina mama na watoto,kuna nchi nyingine asa za ulaya na america,president akiwa nje harafu kukatokea tatizo dogo tu nchini mwake,ana ahirisha safari na kurudi nyumban,lakin uyu wetu ata mabomu yakilipuka tena kama gongo la mboto na mbagala awezi kurudi adi muda wake wake wa kurudi ufike,inasikitisha
 
Hii summit inahudhuriwa na marais wangapi? Waziri wa Afya, mwenyekiti wa kamati ya bunge inayohusika na huduma za jamii, UMATI, nadhani walitosha. Labda kama ameenda kwa mazungumzo mengine lakini sioni umuhimu wa rais kwenye hii summit. Britain wako involved kwenye sektra yetu ya gas yetu pengine wametumia huu mwanya kuweka mambo sawa.

Muda unayoyoma si vibaya kama rais wetu akaanza kufiri/kutanya mambo ambayo watanzania watamkumbuka nayo.
 
Yule anayerecord safari za vasco, arecord na hii! Anasafiri kuliko pilots wenyewe kha!
 
Mimi nadhani kama kuna wizara ya wanawake jinsia na watoto waziri wake ndiyo alipaswa kwenda huko...Kweli waliomchagua huyu M.kwe.re wametuweza...
 
eleweni thread vizuri. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimefanya vizuri duniani ktk uzazi wa mpango. jk amealikwa ili awasilishe mada. mwacheni akatuwakilishe. vievile mbona nchi iko shwari! mbona mgomo umeisha na mambo yanaendelea vizuri!? acheni kuwashwa. acheni wivu! jk kula bata
 
sasa hiyo family planning summit itamsaidia nn, wakati jamaa ana watoto mpaka wengine kashindwa kuwapa maisha! angemtuma Kardinal Pengo
 
Hivi nyie wabongo nikiamua kula bata,kukwea juu,kupaa juu,kula urod...,kucheka,kutabasamu,kutoa misemo,mradi natafuna hazina kabla ya 2015 kwa kasi zaidi,ari zaidi,mradi nisonge mbele.nyie wabongo vep?wabongo kwa hila ndo wenyewe,haya nani anijumlishie safari zangu aniambe kama nimefikisha bilioni 2o vinginevyo acha nisonge mbele ,hamjui thithim 2015 kwisine
 
siku hizi kila mkutano huko ulaya ambao unahusisha africa lazima tanzania tualikwe kwanini? ni nini wanakipata huku kwetu mpaka tualikwe sisi na sio kenya au uganda?
 
mmh!familly planning anaenda presda!hapo si unamtuma tu dactari yeyote akuletee taarifa?AMALIZE TU MUDA WAKE AONDOKE TUMECHOKA.
 
Back
Top Bottom