Hujui kuwa tanzania huenda baada ya miaka 100 ikiwa the fifth highly populated country in the world 2100
I am sick to my styomach. Huyu ndiye rais wetu, Heri hata Matonya awe Rais kuliko Kikwete kuwa Rais. Matatizo lukuki nchini, bila aibu anaondoka kwenda kwenye family planning summit. This man is bogus. Mimi mwanamke lakini nadiriki kumuita Bogus. Mnyika alisema kweli. Huu ni udhaifu liopitiliza. Yaani bila aibu, huyu ni mtu wa aina gani jamani? Is this man normal?
naomba mtuambie hii ni safari ya ngapi? Hivi hakuna mtu anayaweza kutupa gharama ya safari hizi kisha tulinganishe na tija yake. Watu wanakufa rais yuko londone. Only in tanzania.
Nauseating.