Kikwete for London Family Planning summit

Kula nchi mutu wangu... wabongo wanachosha.. ujue vile vile pale magogoni shombo la samaki limezidi. Lile shombo mtu wangu linakuleteaga "alegi''. ule upepo wa baharini

Usiwa-mindi wabongo wana wivu ka nini.. katiza mitaa yote ya London baba.. usisahau kuniletea tshirt ya ManU chenji ikibaki
 
Aibu sana vitu vidogo kama hivi vya uzazi wa mpango si MAENDELEO ya jamii wanafanya tu hii!!! dah noma sana kabisa
 
Mimi na mabinti dam dam. kila mtu atabeba msalaba wake....:A S cry:
 
Ndugu zangu Watanzania mbona mnasahau kuwa tuna Rais ambaye hajali tena mambo yanayotuhusu sisi kila siku. Yeye anafanya ya kufurahisha nafsi yake tu na kutatua matatizo yetu siyo suala lenye kipaumbele kwake. Ogopa mtu mwenye I don't care attitude ambayo Kikwete anayo.


Mkweree alishawaambia kinaga ubaga kuwa KELELE ZA MLANGO HAZIMKOSESHI USINGIZI MWENYE NYUMBA ; sasa changanyeni na zenu!!
 
Jamani tabia kama hii. lazima ina mizizi yake ktk makuzi ya mtu. Sio kitu cha kawaida hiki, maana kama 'utalii', alishaufanya sana tena miaka kumi mizima ya utawala wa awamu ya tatu, Sijui ni kitu gani kinachomfanya ashindwe kutulia kwake. Mwanzoni nilikuwa nikiamini kuwa tabia ya kuzurura kwa w*****o na **k***e ni kwa wanawake tu (kila uchao kwenye shughuli), kumbe hata wanaume wamo!
 
Kama Bogus ameweza kuwa Rais wa Tanzania , Basi baba yako Makalio ni Rais wa Marekani kama siyo PM wa Uingereza, Lakini nina imani umemtekelekeza huko Ilula na huenda sasa hivi anakata kamba,
 
Jamani tabia kama hii. lazima ina mizizi yake ktk makuzi ya mtu. Sio kitu cha kawaida hiki, maana kama 'utalii', alishaufanya sana tena miaka kumi mizima ya utawala wa awamu ya tatu, Sijui ni kitu gani kinachomfanya ashindwe kutulia kwake. Mwanzoni nilikuwa nikiamini kuwa tabia ya kuzurura kwa w*****o na **k***e ni kwa wanawake tu (kila uchao kwenye shughuli), kumbe hata wanaume wamo!

Ndugu yangu ni lazima uelewe kuwa kunabinadamu wengine wana maumbile ya kiume lakini hulka zao ni za kike; mara nyingi watu wenye hulka ya namna hiyo huwa naraha sana wakiwa kwenye makundi ya wanawake hata kama wao ni wanaume!! Hivyo usishangae ukiona "WANAUME" wana tabia za kizururaji kwenda kwenye shuhuli kila wakati kama wafanyavyo wanawake!!
 
BABA YAKO ALIWAHI KUWA HATA DC? WEWE MWENYEWE ULIWAHI KUWA HATA VEO? Village Executive Officer? FISI MAJI
 
Family Planning Summit? Seriously!? Kama Mkapa alivyoiweka.."Huyu jamaa haelewi nini maana ya Presidency"
 
Kweli hii ni aibu sana, hata mwinyi hapa ni mkubwa mno, katibu mkuu anatosha, kama kule brazil alikoenda ilikuwa ni aibu, yuko na kundi kubwa akina michuzi, kweli Ikulu sasa hivi haina washauri, lakini je akishauriwa anakubali? nashindwa kujua ni kiasi gani cha fedha tunatumia ukifanya cost benefit analysis, lakini hata siyo cost hapa, reputation ya president nayo jamani washauri hamuoni kama inashuka?
 
Mon, Jul 9th, 2012

Headlines / Tanzania |


President Jakaya Kikwete jets in here on Tuesday where he will attend groundbreaking International Family Planning Summit that will launch a Global Movement aimed at giving an additional 120 million women in the world’s poorest countries access to lifesaving family planning information, services and supplies by 2020.
President-Jakaya-Kikwete.jpg

President
Jakaya Kikwete


The envisaged increased access will enable these women and girls to choose whether, when and how many children to have.


The summit, starting here on Wednesday, is being organised by the British government’s department for international development (DFID) and Bill and Melinda Gates Foundation.


The Minister for Health and Social Welfare, Dr Hassan Mwinyi, arrived here on Monday to attend the summit. Between 20 and 25 countries are scheduled to attend, including
Tanzania, United States, India, Ethiopia and Nigeria.


Leaders from developing and developed countries, donors, civil society groups and the private sector will come together behind a simple vision: to give women in the developing world the same access to lifesaving family planning as women in the developed world.


The summit will seek a range of policy, financing and delivery commitments from developing countries, donors, the private sector and civil society.


The poorest countries are defined as those with a Gross National Income (GNI) of 2,500 US dollars per year or less (based on the World Bank 2010 classification using the Atlas Method) – a group of 69 countries.


Tanzania
like a number of other Sub-Saharan countries has been taking various steps to accelerate progress and thereby reach national and international targets on family planning.


Statistics in
Tanzania indicate that maternal mortality rates are beginning to decline. The maternal mortality ratio in 2004/05 was estimated to be 578 per 100,000 live births and has declined to 454 per 100,000 live births. This means a decline in annual maternal deaths from 8,100 to about 7,000.


By ORTON KIISHWEKO
, Tanzania Daily News







mimi naona tuweke wizara maalum kwaajili ya kufuatilia mikutano yote ya nje ambayo raisi wetu anachoka kila siku kiguu na njia kuhudhuria!
 
mimi naona tuweke wizara maalum kwaajili ya kufuatilia mikutano yote ya nje ambayo raisi wetu anachoka kila siku kiguu na njia kuhudhuria!

IPO Tayari inaitwa VASCO DA GAMA
 
I am sick to my styomach. Huyu ndiye rais wetu, Heri hata Matonya awe Rais kuliko Kikwete kuwa Rais. Matatizo lukuki nchini, bila aibu anaondoka kwenda kwenye family planning summit. This man is bogus. Mimi mwanamke lakini nadiriki kumuita Bogus. Mnyika alisema kweli. Huu ni udhaifu liopitiliza. Yaani bila aibu, huyu ni mtu wa aina gani jamani? Is this man normal?

Vp kuhusu kibabu kibachela?
 
siku hizi kila mkutano huko ulaya ambao unahusisha africa lazima tanzania tualikwe kwanini? ni nini wanakipata huku kwetu mpaka tualikwe sisi na sio kenya au uganda?

mbona hata uganda wamealikwa kuhudhuria kupitia hon. Museven
 
Waziri wa Afya badala ya kukaa nchini kufikia muhafaka na madaktari naye anakwenda kuzurura! Ama kwasababu wanaokufa ni Watanganyika?
 
Wadau foreign affairs to a President, ni sawa na mcheza cricket akawe professional football player. Hii fedheha usoni pa mataifa nani atatusitiri.?
 
Back
Top Bottom