Naona Mwandishi wake Michuzi ameshatangulia UK.
I am sick to my styomach. Huyu ndiye rais wetu, Heri hata Matonya awe Rais kuliko Kikwete kuwa Rais. Matatizo lukuki nchini, bila aibu anaondoka kwenda kwenye family planning summit. This man is bogus. Mimi mwanamke lakini nadiriki kumuita Bogus. Mnyika alisema kweli. Huu ni udhaifu liopitiliza. Yaani bila aibu, huyu ni mtu wa aina gani jamani? Is this man normal?
Ndakilawe umeniwahi ... nilitaka kuuliza hili ... kwamba hivi yeye mwenyewe anao watoto wangapi? ... anajali hiyo Family Planning?! ...sasa hiyo family planning summit itamsaidia nn, wakati jamaa ana watoto mpaka wengine kashindwa kuwapa maisha! angemtuma Kardinal Pengo
Waziri wa Afya Dr. Mwinyi kaisha fika London... Kakimbia Mgomo nini anakula kuku kwa Mrija
Serikali ya CCM ni safi sana...
(huo mpasho umekuuma sana MarkJ sio?! Pole; acha jembe liitwe jembe!!)acha uboya wewe! mbona hata wewe familia yako ninamatatizo na unafanya starehe kama kawaida ukidai unapoteza mawazo! badala ya kwenda nyumba za ibada! boya wewe
pointless, unaongea uchafu tu.angalia great thinkers wengine uige! kwelii we mpiga zeze hahaha
eleweni thread vizuri. Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimefanya vizuri duniani ktk uzazi wa mpango. jk amealikwa ili awasilishe mada. mwacheni akatuwakilishe. vievile mbona nchi iko shwari! mbona mgomo umeisha na mambo yanaendelea vizuri!? acheni kuwashwa. acheni wivu! jk kula bata