Mh disii alikua na vikonzi chuchu wewe daaaah watu wanakua na kuzeeka na utamu wao aseeeMheshimiwa disiiView attachment 919672
Teknolojia haina adabu! Mwl katumia EARPHONES long way back lkn hakuwa kuiona wala kugusa Mobile phone!
Suruwali ya jiweWakati wa urafiki wao na KitwangaView attachment 919689
Actually, mi' binafsi nawakubali sana ila ndio hao hao waliompitisha huyu stone kwenye kamati kuuHawa ndio wanakijua chama vizuri kuliko huyu mjomba....tehteehh View attachment 919700
Mheshimiwa disiiView attachment 919672
Kumbe alianza kupenda mijimama tangia kabla hajatoka....tehteehh View attachment 919675
NomaWakati wa urafiki wao na KitwangaView attachment 919689
Habib Halahala, Paul Sozigwa, Mwl.Julius Nyerere, Gen. Hashim Mbita, Benjamin Mkapa.
Ehhh Mwenye Enzi Mungu mbariki rais wetu JPM kwa hekima zako na ulinzi wako milele yote walahiHapa mkemia hakujua hata kama ipo siku atakuwa jemedari mkuu wa taifa hili... View attachment 919684
Ehhh Mwenye Enzi Mungu mbariki rais wetu JPM kwa hekima zako na ulinzi wako milele yote walahi
Ila huyu Mwl. aka Baba wa Taifa alikuwa siyo mtu wa mchezo mchezo kwa kweli...yuko fit vibaya sana...
Ila huyu Mwl. aka Baba wa Taifa alikuwa siyo mtu wa mchezo mchezo kwa kweli...yuko fit vibaya sana...