Kikwete enzi hizo

1541232573564.png
 
Nyerere sijawahi kuona picha yake akiwa kijana.so yeye alikua mzee toka miaka ya 60 ?

Pichani Mwalimu akiwa na umri wa miaka 20 (kijana mdogo kabisa )
1541295661407.png


Picha zingine akiwa kijana
1541295996317.png


1541295854919.png



1541295589236.png



My Take
- Ni kweli kuna picha chache sana za Mwalimu J.K.N akiwa kijana
- Nadhani hili linachangiwa wa mazingira ya wakati huo, Picha ilikuwa ni kwa matukio maalum na wakati mwingine kutokuwepo kwa wapiga picha katika eneo husika hadi usafiri kwenda mji mwingine kupata huduma ya picha studio.
- Nimuombe ngugu Mohamed Said na wana JF wengine kama wanapicha za Mwalimu akiwa kijana atuwekee hapa Jukwaani kwa manufaa ya wengine pia.

Ahsante
 
Back
Top Bottom