Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,152
- 15,605
Yanaboa kwanini?upo ulivyo leo kutokana na mchango wa huyu mtu,amani iliyopo,popote nchi hii ukienda unakaa kama upo kwenu hakuna anaekubagua leo unasema anaboa? tatizo mnafundishana ujinga mkikutana kwenye vijiwe vyenu.Mipicha ya nyerere inaboa..