Kikwete enzi hizo

Habib Halahala, Paul Sozigwa, Mwl.Julius Nyerere, Gen. Hashim Mbita, Benjamin Mkapa.

Hao wote, ukimuondoa Mwalimu, walishawahi kuwa waandishi wa habari wa rais.

Hapo Nyerere aliwaita wapige picha ya ukumbusho akiwaaga, kama mwaka 1985 nafikiri.

Habib Halahala alifariki miakaya 80 baada ya kukatwa na panga la Helikopta akiwa katika msafara wa rais Ali Hassan Mwinyi kwenye mafuriko kusini mwa Tanzania.

Paul Sozigwa alifariki kwa kuumwa mwaka 2017.

Mwl. Nyerere alifarikikwa leukemia 1999.

Gen. Hashim Mbita alifariki kwa ugonjwa mwaka 2015

Kwenye picha hiyo, mtu pekee ambaye yuko hai mpaka sasa ni Benjamin Mkapa tu.
 
Ila huyu Mwl. aka Baba wa Taifa alikuwa siyo mtu wa mchezo mchezo kwa kweli...yuko fit vibaya sana...
1541749034842.png


1541749074523.png


1541749185091.png


1541749253260.png
 
Back
Top Bottom