Pichani Mwalimu akiwa na umri wa
miaka 20 (kijana mdogo kabisa )
View attachment 920584
Picha zingine akiwa kijana
View attachment 920587
View attachment 920585
View attachment 920583
My Take
- Ni kweli kuna picha chache sana za Mwalimu J.K.N akiwa kijana
- Nadhani hili linachangiwa wa mazingira ya wakati huo, Picha ilikuwa ni kwa matukio maalum na wakati mwingine kutokuwepo kwa wapiga picha katika eneo husika hadi usafiri kwenda mji mwingine kupata huduma ya picha studio.
- Nimuombe ngugu
Mohamed Said na wana JF wengine kama wanapicha za Mwalimu akiwa kijana atuwekee hapa Jukwaani kwa manufaa ya wengine pia.
Ahsante