Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Ha ha ha ha ha,makamanda wa chadema hao bana wengine hawa umesahau.....
...Mwendo mdundo ...BAVICHA hatareee denja !!!
![]()
Ha ha ha ha ha,makamanda wa chadema hao bana wengine hawa umesahau.....
...Mwendo mdundo ...BAVICHA hatareee denja !!!
![]()
Na wewe unatumia fikra za nani? Utawala bora? Ulimboka ni dalili ya utawala bora? Na Mwangosi? Na sasa mmeanza kuvamiaWewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.
Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.
Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.
Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.
Angekuwa dhaifu angakuwa anawalisha familia yenu wote?kikwete dhaifu
Ulitaka aje kukaa nyumbani kwako,
Riziki hupiganiwa haifungiwi uzio jk amejaliwe vipi mnaumia mioyo nendeni mkatibiwe kama maradhi mnayo.
Muuaji naye lazima afe mwisho.Na wewe unatumia fikra za nani? Utawala bora? Ulimboka ni dalili ya utawala bora? Na Mwangosi? Na sasa mmeanza kuvamia
mikutano ya amani na kuleta vurugu!
Ukisoma ule waraka wa Media plan-eti wa kutangaza katiba ili wananchi waweze kuipigia kura ya ndiyo, moja ya malengo ni kwamba:----
"Kuiepusha serikali na aibu ikiwa wananchi wataamua kuipigia kura ya hapana"
Nauliza, hivi mwakani ikitokea CCM Inashindwa uchaguzi, Jakaya kikwete si atawaamuru Tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea wa CCM ili kuiepsha CCM na aibu ya kushindwa? hapa ndo RAIS anaweza kuandika historia mbaya ya machafuko nchini.
Ukawa mmejiandaaje na hili?
Nimeshtushwa sana na huu waraka wa Kikwete wa kuitangaza katiba kwa sababu si kazi yake, halafu, mimi nalipa kodi kila siku, na kodi yangu ndo itatumika kuitangaza katiba pendekezwa ya serikali eti ili niipigie kura ya ndiyo, na mm kura yangu ni ya hapana, sasa inakuwaje hapa?
Maliza kwanza kula tutaongea mkuu.pole kwa kuwa mtumwa wa fikra!ukiambiwa kula kinyesi wewe sawa ili mradi aliyekuagiza ni ccm!
Kama 2napohoji juu ya safari za rais wewe unaona anaonewa wivu basi una ubongo wa kuku!
Wakati anaomba kupewa nchi alitakiwa ajue wajibu wake,na kuwa nyendo zake zieleweke!Umesikia m2 anampigia kelele m2 binafsi kufanya matanuz nje,rais anatumia kodi zetu!kwa cku hzo si chini ya mil 250 zitatumika!
2nasikia haya halafu wanakuja ku2changisha pesa kwa nguvu,muhimbili dawa ni tatizo!uko wapi uwajibikaji?huyu ndiye yule 2maini la watu mwaka 2005?kweli abraham lincolin alikuwa sahih aliposema "nearly an old man can stand adversity but if u want 2 test the man's character,give him power"!
Now we see that we cant expect anythng gd out of a green shirt,they r all the same!shame on you,period!
Kwa sasa anamalizia ujenzi huu hapa angalia picha hii wewe fanya umbea yeye anasonga mbele.
View attachment 199329
Hawa ndiyo wafuasi wa Chadema wanajiita UKAWA sasa hivi wameamua kuporomosha matusi.
Kama hizo mahakama zipo Rombo au Kibosho sawa lazima ashtakiwe.
Nyie viumbe wa ajabu sana mnaongozwa na chuki tu, Mkapa aliwauwa wapemba kwenye maandamano wote humu mlikuwa kimya leo mnajifanya UKAWA.
Haramia kikwete hajui maana ya utawala bora!! Nyumbani kwake ni the hague tu!!Ukisoma ule waraka wa Media plan-eti wa kutangaza katiba ili wananchi waweze kuipigia kura ya ndiyo, moja ya malengo ni kwamba:----
"Kuiepusha serikali na aibu ikiwa wananchi wataamua kuipigia kura ya hapana"
Nauliza, hivi mwakani ikitokea CCM Inashindwa uchaguzi, Jakaya kikwete si atawaamuru Tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea wa CCM ili kuiepsha CCM na aibu ya kushindwa? hapa ndo RAIS anaweza kuandika historia mbaya ya machafuko nchini.
Ukawa mmejiandaaje na hili?
Nimeshtushwa sana na huu waraka wa Kikwete wa kuitangaza katiba kwa sababu si kazi yake, halafu, mimi nalipa kodi kila siku, na kodi yangu ndo itatumika kuitangaza katiba pendekezwa ya serikali eti ili niipigie kura ya ndiyo, na mm kura yangu ni ya hapana, sasa inakuwaje hapa?
Prof. JMK ni baba wa taifa hili wa pili baada ya NYERERE.
Mnahangaika sana. Mipasho kama hiyo wamesema sana akina Slaa. Kikwete ni Rais anayekubalika kitaifa na kimataifaHaramia kikwete hajui maana ya utawala bora!! Nyumbani kwake ni the hague tu!!
Prof. JMK ni baba wa taifa hili wa pili baada ya NYERERE.
Kwani wewe ni nani kama si mpumbavu?acha kumtuc mwl. p_mbavu
Na wewe ni mpumbavu. Kinakuzuia nini na nyie kuweka zamu?Nimeamini hawa watu wanafanya kazi kwa zamu "Simiyu yetu" katoka zamu ameingia"Lizaboni" pu.mb vu zenu magamba kwa ufisadi