Kikwete Aweza kwenda ICC baada ya Mwakani

Kikwete Aweza kwenda ICC baada ya Mwakani

Ukisoma ule waraka wa Media plan-eti wa kutangaza katiba ili wananchi waweze kuipigia kura ya ndiyo, moja ya malengo ni kwamba:----

"Kuiepusha serikali na aibu ikiwa wananchi wataamua kuipigia kura ya hapana"

Nauliza, hivi mwakani ikitokea CCM Inashindwa uchaguzi, Jakaya kikwete si atawaamuru Tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea wa CCM ili kuiepsha CCM na aibu ya kushindwa? hapa ndo RAIS anaweza kuandika historia mbaya ya machafuko nchini.

Ukawa mmejiandaaje na hili?

Nimeshtushwa sana na huu waraka wa Kikwete wa kuitangaza katiba kwa sababu si kazi yake, halafu, mimi nalipa kodi kila siku, na kodi yangu ndo itatumika kuitangaza katiba pendekezwa ya serikali eti ili niipigie kura ya ndiyo, na mm kura yangu ni ya hapana, sasa inakuwaje hapa?

Anataka kutumia mbinu aliyoifanya Lundenga kumtangaza Bibi Sitti Mtemvu, alikamata mike mwenyewe
 
Ukisoma ule waraka wa Media plan-eti wa kutangaza katiba ili wananchi waweze kuipigia kura ya ndiyo, moja ya malengo ni kwamba:----

"Kuiepusha serikali na aibu ikiwa wananchi wataamua kuipigia kura ya hapana"

Nauliza, hivi mwakani ikitokea CCM Inashindwa uchaguzi, Jakaya kikwete si atawaamuru Tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea wa CCM ili kuiepsha CCM na aibu ya kushindwa? hapa ndo RAIS anaweza kuandika historia mbaya ya machafuko nchini.

Ukawa mmejiandaaje na hili?

Nimeshtushwa sana na huu waraka wa Kikwete wa kuitangaza katiba kwa sababu si kazi yake, halafu, mimi nalipa kodi kila siku, na kodi yangu ndo itatumika kuitangaza katiba pendekezwa ya serikali eti ili niipigie kura ya ndiyo, na mm kura yangu ni ya hapana, sasa inakuwaje hapa?

Rais Kikwete hana kosa lolote alofanya kubwa.Katujengea nchi yetu mtu wakupelekwa ICC Mbowe na Slaa watakao fanya fujo 2015
 
Kwanin asichukue uraia wa USA atuachie nchi yetu
 
Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.

Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.

Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.

Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.
Wewe kuwa na akili basi,unajua ccm ikitoka utaenda kulala mchongoma ndio maana unaandika ulichoandika. Ole wenu ccm na vizazi vyenu.
 
Hewe punguani unasema ujawahi kuona wewe nani humu JF? Wewe ndiyo mateka wa Chadema upo radhi kumpa Slaa au Mbowe bimkubwa wako.
Siku hizi umepata kamusi ya matusi mapya, naambiwa Mohamed Saidi kakuagizia kutoka Oman!
 
Siku hizi umepata kamusi ya matusi mapya, naambiwa Mohamed Saidi kakuagizia kutoka Oman!
Huo ndiyo utaratibu wangu mtu akija kipuuzi anajibiwa kipuuzi mtu akija kiungwana anajibiwa kiungwana, kama umeumia pole sana sina cha kukusaidia labda Dr.Slaa anaweza kukusaidia ndiyo tegemeo lenu.
 
Huo ndiyo utaratibu wangu mtu akija kipuuzi anajibiwa kipuuzi mtu akija kiungwana anajibiwa kiungwana, kama umeumia pole sana sina cha kukusaidia labda Dr.Slaa anaweza kukusaidia ndiyo tegemeo lenu.

Mkuu, ukipongezwa kwa kamusi ya mitusi mbona unajaa mipovu kwani vipi?
 
Kweli ukipenda chongo utaona ni kengeza, jamaa ameshindwa kununua madawati na kujenga maabara shuleni ndio aweze hayo ya kwenye picha!
Nakuona kama umepagawa yawezekana dili zako haziendi sawa pole sana,hicho unachokibisha ndiyo kinafanyika sasa.
 
Nimeamini hawa watu wanafanya kazi kwa zamu "Simiyu yetu" katoka zamu ameingia"Lizaboni" pu.mb vu zenu magamba kwa ufisadi
Hapana mkuu, hizo ID hutumia na vijana wote wa Lumumba na ndio maana unaona zinatema pumba tupu!
 
ICC ni kwa ajili ya watawala Ritz acha mchecheto
 
Last edited by a moderator:
Uko sahihi mkuu huyu kiwete lazima apelekwe tu kama mwenzie wa Kenya

Hapana ndugu,kumbuka siyo heshima kwako binafsi na kwa nchi yako kwa Rais wako kupelekwa The Hague.
Nilisoma mahala fulani (Sikumbuki jina)kuwa Rais wetu ni miongoni mwa Marais wachache Africa wanaofanya vizuri katika kuheshimu Demokrasia na haki za binadamu katika nchi yake.
 
Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.

Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.

Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.

Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.

Wewe ndio punguani, demokrasia ya Kikwete ndio hiyo ya kulazimisha Katiba? Halafu unashangilia Rais Kikwete kusifiwa na wakoloni? Huna hata aibu.
 
Mwacheni Ritz jamani aweze hata kupata japo kausingizi; mkiendelea hivi hatalala, atakesha hapa. Cha ajabu ni kwamba FaizaFoxy hajaingia humu...sijui bi Ajuza kapatwa na nini! Yaani mpaka dakika hii hajaingia kutoa utetezi, loooh!
 
Last edited by a moderator:
Nakuona kama umepagawa yawezekana dili zako haziendi sawa pole sana,hicho unachokibisha ndiyo kinafanyika sasa.
Mshauri zile pesa anazotenga kufanyia kampeni ya katiba azitumie kulipa deni la msd ili watanzania wapate dawa hospitalini!
 
Back
Top Bottom