Kikwete Aweza kwenda ICC baada ya Mwakani

Kikwete Aweza kwenda ICC baada ya Mwakani

Atawakuta akina Charles Taylor,Bosco Ntaganda,Laurent Gbagbo,Seif islam Gaddafi. Ajiandae yeye na mwanaye Ridhiwani,Mizengo Pinda,Wassira(washauri wake wa ovyo),Lukuvi(mshauri Pinda),Chenge na Sitta
 
Mwacheni Ritz jamani aweze hata kupata japo kausingizi; mkiendelea hivi hatalala, atakesha hapa. Cha ajabu ni kwamba FaizaFoxy hajaingia humu...sijui bi Ajuza kapatwa na nini! Yaani mpaka dakika hii hajaingia kutoa utetezi, loooh!

Nitafute, nimewapa challenge, kumbe wote "cha mtoto".

Hapa mnaota ndoto za kusadikika, tunategema tuzo ya Mo akiacha kuongoza baada ya kumaliza muda wake.
 
Muko tayari kufa kwa kutetea haki yenu ya msingi?
Mimi mwenzenu tayari maiti nasubiri kuzikwa tuu.
Najuwa ccm wananilia timing tuu.I KNOW I AM DEAD ALREADY
 
Hawa magamba wanatuamonosha uongo.Nchi mbili huru zikiungana haziwezi kuunda moja huru nahalafu moja ikafa na moja ikabaki nusu.
Ama ni shirikisho mkataba au serikali 1 tuu.
 
Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.

Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.

Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.

Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.

Kwani Kenya ilijuwa kwamba siku moja kiongozi wao atakuja kushtakiwa ICC? Ni Kenya kwa hiyari yao waliamua kujiunga na kujipendekeza ICC sasa Uhuru amefanya makosa signature ya Kenya ya kujiunga na umoja huo ndiyo ambayo Uhuru Kenyata leo inamnyima usingizi pamoja na aibu na kashafa kwa kiongozi wao kushtakiwa itakuwa JK?.

Ivi unakumbuka Rais Chiluba alikuja kuhujumiwa na sheria kandamizi ambazo aliziunda mwenyewe na kuzisimamia mwenyewe baada kumaliza mda wake upinzani kushika madaraka?

JK saivi anamaliza mda wake hizo tuzo zake zoote alizonazo siyo makubaliano kwamba akifanya kosa asiende ICC, ccm mumezoea kulindana na haya mambo siyo ya ccm ni sheria za Kimataifa unaleta mambo ya nyumbani mtoto kakosea baba amsamehe. sijuw mnafikiri nini katika kuchangia hapa JF
 
Ukisoma ule waraka wa Media plan-eti wa kutangaza katiba ili wananchi waweze kuipigia kura ya ndiyo, moja ya malengo ni kwamba:----

"Kuiepusha serikali na aibu ikiwa wananchi wataamua kuipigia kura ya hapana"

Nauliza, hivi mwakani ikitokea CCM Inashindwa uchaguzi, Jakaya kikwete si atawaamuru Tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea wa CCM ili kuiepsha CCM na aibu ya kushindwa? hapa ndo RAIS anaweza kuandika historia mbaya ya machafuko nchini.

Ukawa mmejiandaaje na hili?

Nimeshtushwa sana na huu waraka wa Kikwete wa kuitangaza katiba kwa sababu si kazi yake, halafu, mimi nalipa kodi kila siku, na kodi yangu ndo itatumika kuitangaza katiba pendekezwa ya serikali eti ili niipigie kura ya ndiyo, na mm kura yangu ni ya hapana, sasa inakuwaje hapa?
Katiba ya Serikali inapitishwaje na kura za wananchi?wananchi wanapaswa kupiga kura kupitisha katiba yao wenyewe na si ya serekali.Katiba ya serikali inapaswa kupitishwa na serikali yenyewe na si wananchi
 
Kama hizo mahakama zipo Rombo au Kibosho sawa lazima ashtakiwe.

Nyie viumbe wa ajabu sana mnaongozwa na chuki tu, Mkapa aliwauwa wapemba kwenye maandamano wote humu mlikuwa kimya leo mnajifanya UKAWA.

Kwa hiyo wapemba waliuliwa na watu toka Rombo na Kibosho? Ubaguzi wa kikabila ni wa nini?
 
Kunatakiwa kuwepo ubunifu katika nchi yetu iwepo maktaba ya kukusanya taarifa zote muhimu za kitaifa katika nchi yetu ziwe za kila siku zihifadhiwe katika makumbusho ya taifa kwa ajili ya vizazi vya baadae waje wajue kipi kilitokea siku fulani ili kuweza kujifunza maarifa au kuja kuona kilichotokea
 
Nguvu ziko wapi zinazotumika na sisi tuzione tatizo lenu bavicha mnatumia akili za kuatazamia make zile zenu zote zimefyatuka.
tatizo lenu mnafikiri kwa miguu na kuishi kwa mahaba ya vyama badala ya kuwa wazalendo,hautazikwa na chama wala kukumbukwa kwa chama chako ila utakumbukwa kwa uliyowafanyia wananchi wako kwa mstakabali wa vizazi vijavyo,sio kuwa mahaba ya chama kwa ajili ya tumbo lako
 
Nitafute, nimewapa challenge, kumbe wote "cha mtoto".

Hapa mnaota ndoto za kusadikika, tunategema tuzo ya Mo akiacha kuongoza baada ya kumaliza muda wake.
Kumbe hata jk walikuwa wanataka wampeleke icc?
 
Huyu lazima akanyee debe ICC,wengine ni Pinda,Wassira huyu ni mshauri wake wa karibu kumbe anamshauri ugolo,Lukuvi huyu ni mshauri wa mtoto wa mkulima a.k.a mzee wa kulialia na kuropoka
Kamanda bado unahisi tumpeleke jk icc?
 
Wazee wa matukio tulishamalizana na Kikwete na sasa tuna deal na matukio ya Magufuli,na yeye muda wake utaisha ataondoka atakuja mwengine.
 
Back
Top Bottom