Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Mkuu Mag3, huyo bi mkubwa FaizaFoxy alikuwa zamu ya asubuhi, sasa hivi kapumzika!

Ni wewe ndiyo uliyeweka hii mada? viroba vibaya sana.
View attachment 199290
Unahofu kwa kuwa wapinzani wakichukua madaraka inabidi wakukabidhi kwa Wachina ili unyongwe tu ili tunusuru raslimali zetu. Mikataba mibovu ya gesi kati ya Tanzania na China ilikuwa ndiyo masharti ya kukunusuru baada ya wewe kunaswa na madawa ya kulevya huko China!Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.
Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.
Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.
Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.
Kama hizo mahakama zipo Rombo au Kibosho sawa lazima ashtakiwe.
Nyie viumbe wa ajabu sana mnaongozwa na chuki tu, Mkapa aliwauwa wapemba kwenye maandamano wote humu mlikuwa kimya leo mnajifanya UKAWA.
Nyongo ipi tena nasikia stori zenu za kwenye vijiwe vya mbege... Teh teh teh
Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.
Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.
Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.
Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.
Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.
Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.
Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.
Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.
Ukisoma ule waraka wa Media plan-eti wa kutangaza katiba ili wananchi waweze kuipigia kura ya ndiyo, moja ya malengo ni kwamba:----
"Kuiepusha serikali na aibu ikiwa wananchi wataamua kuipigia kura ya hapana"
Nauliza, hivi mwakani ikitokea CCM Inashindwa uchaguzi, Jakaya kikwete si atawaamuru Tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea wa CCM ili kuiepsha CCM na aibu ya kushindwa? hapa ndo RAIS anaweza kuandika historia mbaya ya machafuko nchini.
Ukawa mmejiandaaje na hili?
Nimeshtushwa sana na huu waraka wa Kikwete wa kuitangaza katiba kwa sababu si kazi yake, halafu, mimi nalipa kodi kila siku, na kodi yangu ndo itatumika kuitangaza katiba pendekezwa ya serikali eti ili niipigie kura ya ndiyo, na mm kura yangu ni ya hapana, sasa inakuwaje hapa?

Majuha mko wengi sana jk siyo saizi yako kaeni na hao mapadri wenu wazinzi ambao kwenu ndiyo mnawaona wa maana lakini mfano wa jk hakuna hata hao wenye hiyo mahakama ya kimataifa wanamtafuta wanamwalika akatoe hotuba kwa uongozi wake safi na kuwa mwamba wa demokrasia afrika nziama.Huyu mbayuwayu huwa hajielewi anapotoa hotuba...ndo maana huanguka majukwaani...sijahi ona rahisi ajabu km mbayuwayu huyu....
Hypothesis.
Kwahiyo hapa unataka Lema aweze kuadhibiwa sote tunajua chadema ndiko majambazi waliko.Uko sahihi lakini umekosea sana kupindukia. Hivi wewe ukiwa unafanya mema siku zote siku moja ukaamua kuwa jambazi huwezi kuhukumiwa kwakuwa siku zote ulitenda mema? Wazungu hawana rafiki wala adui wa kudumu. Kama huamini ngoja asababishe machafuko yatakayosababisha umwagaji damu kwa wananchi uone kama hataenda ICC.
Majuha mko wengi sana jk siyo saizi yako kaeni na hao mapadri wenu wazinzi ambao kwenu ndiyo mnawaona wa maana lakini mfano wa jk hakuna hata hao wenye hiyo mahakama ya kimataifa wanamtafuta wanamwalika akatoe hotuba kwa uongozi wake safi na kuwa mwamba wa demokrasia afrika nziama.