Kikwete Aweza kwenda ICC baada ya Mwakani

Kikwete Aweza kwenda ICC baada ya Mwakani

Huyo jaji atakayehukumu hiyo kesi nadhani atakuwa sugu na mahakama itakuwa tengeru.
 
Ingekuwa mahakama hiyo inawaadhibu kina OBAMA nigneunga mkono hoja.
 
Wewe hata povu likutoke vp the ICC ataenda tu coz matukio mengi ameagiza utekelezaji wake including kung'oa kucha, meno na kuua wandishi wa habari (Refer mwangosi). Huo kwako ndiyo utawala bora? ni bora ungekaa kimya unachefua...
Inaonekana unauhonjwa fulani kichwani mwako umeandika pumba kabisa jk ni kiongozi wa kuzingatia haki na sheria ndiyo maana ukawa wamezunguka mpaka wakakaa lakini hakuyumba.
 
Ritz kila nikikumbuka hii kitu huwa sinagahamu kabisa na hawa jamaa. niwanafiki kupindukia.

Kama hizo mahakama zipo Rombo au Kibosho sawa lazima ashtakiwe.

Nyie viumbe wa ajabu sana mnaongozwa na chuki tu, Mkapa aliwauwa wapemba kwenye maandamano wote humu mlikuwa kimya leo mnajifanya UKAWA.
 
Mshindi wa tuzo ya utawala bora ambaye serikali yake inanyimwa misaada ya kibajeti kisa ufisadi!!!! Hushangai hata hilo mdogo wangu????? Mnatumia ubongo upi kufikiri??? Kaa ukijua hao walikuwa wanacheza na akili ya bwana mkubwa kwa maslahi yao!! Wanajua ni mtu anaependa sana sifa hivyo hutumia njia za kumvika vilemba vya ukoka ili aingie kwenye mtego... Ndiyo sababu leo utasikia kapewa suti, kesho saa na keshokutwa uprofesa!!! Na wewe ni great thinker?????
Hakuna hoja hapa ni porojo akili ya kutazamia tu.
 
Kama hizo mahakama zipo Rombo au Kibosho sawa lazima ashtakiwe.

Nyie viumbe wa ajabu sana mnaongozwa na chuki tu, Mkapa aliwauwa wapemba kwenye maandamano wote humu mlikuwa kimya leo mnajifanya UKAWA.
Unafikiri wapemba wamesahau uovu wa Mkapa 2001? Ngoja zanzibar wapate mamlaka kamili uone kitakachowakuta wauwaji wa 2001 na wa 2014.
 
Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.

Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.

Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.

Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.


Mimi nataka aendelee kuboronga ili iwe rais kumuhukumu na hatimaye kunyongwa. Hatutaki viongozi wasanii, wanatuibia nchini kwa kujilimbikizia mali wao na familia zao.
 
Nina wasiwasi na afya ya akili yako wewe. Siyo mzima hata kidogo kichwani.
Vipi, wewe una uhakika na afya yako? Ukishindwa kufikiri nje ya box kama alivyofanya mtoa mada, inawezekana we ndo una shida katikati ya masikio!
 
Hebu litendee haki jina lako. Jenerali hawezi kufikiri kijinga na kipuuzi namna hii.
Vipi, wewe una uhakika na fikra zako. Ukishindwa kufikiri nje ya box kama alivyofanya mtoa mada, inawezekana we ndo una shida ya uelewa finyu!
 
Mwacheni Ritz jamani aweze hata kupata japo kausingizi; mkiendelea hivi hatalala, atakesha hapa. Cha ajabu ni kwamba FaizaFoxy hajaingia humu...sijui bi Ajuza kapatwa na nini! Yaani mpaka dakika hii hajaingia kutoa utetezi, loooh!

Mag3, naona mnafarijiana na kuliwazana, teh teh teh!

JK ataenda ICC mpaka afanye mauaji zaidi ya waliofanya watawala wa Misri dhidi ya waandamanaji.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli na naunga mkono hoja.
Atakuwa ICC kutoa ushahidi wa jinsi alivyoweza kutatua mgogoro wa KENYA na kukomesha mauaji ndani ya masaa 8 tuu.atapitia ICC akiwa njiani kwenda kupokea tuzo kama champion wa democracy,utawala bora na mpigania amani na pan Africanism.
Tatizo wachangiaji wengine hawajakuelewa
 
Hata wazazi wako wanajua umhimu wa jk muulize mama yako anamajibu yote kuhusu jk.

Inasikitisha sana kwa mama yako kumjua professeri dhaifu, umeamua sasa kumdhalilisha mama yako hadharani, dah tunashukuru kwa taarifa
 
ukimuona mtu anaitetea ccm inayokaa kikao kimoja inatumia bilion 9 lazima na yeye ni mwizi tu
 
Siku hizi umepata kamusi ya matusi mapya, naambiwa Mohamed Saidi kakuagizia kutoka Oman!

mohamed said ndiye huyo riz moko!
Kuna siku ameandika uzi great sinkerz kwa jina la mwamed said na kukaribisha maswali halafu akajisahau akakaribisha maswala na akajibu kwa ID ya rizmok, alipogundua, akafuta fasta.
 
Vipi, wewe una uhakika na fikra zako. Ukishindwa kufikiri nje ya box kama alivyofanya mtoa mada, inawezekana we ndo una shida ya uelewa finyu!

Hata kutoka kwenye chupa hajatoka, atawezaje kufikiri nje ya box. Wewe na mwenzako endeleeni kukaa ndani ya chupa.
 
Back
Top Bottom