Kikwete Aweza kwenda ICC baada ya Mwakani

Kikwete Aweza kwenda ICC baada ya Mwakani

Huyu lazima akanyee debe ICC,wengine ni Pinda,Wassira huyu ni mshauri wake wa karibu kumbe anamshauri ugolo,Lukuvi huyu ni mshauri wa mtoto wa mkulima a.k.a mzee wa kulialia na kuropoka

Prof. JMK ni baba wa taifa hili wa pili baada ya NYERERE.
 
Wewe ndio boya kweli,nani aliye juu ya sheria? Kikwete lazima aende ICC na wewe lazima uingiemo
Ndiyo maana nakuambia hizo mahakama zingekuwa Kibosho, Rombo, Machame, Kishumundu, ingekuwa lazima apelekwe.
 
Kama hizo mahakama zipo Rombo au Kibosho sawa lazima ashtakiwe.

Nyie viumbe wa ajabu sana mnaongozwa na chuki tu, Mkapa aliwauwa wapemba kwenye maandamano wote humu mlikuwa kimya leo mnajifanya UKAWA.

Kwa hiyo,unataka kusema Mkapa anatakiwa huko!?
 
Utumie akili unapo post huwezi anza kutuuliza maswali wakati ww ndio mtoa hoja otherwise ume post pumba ICC sio mahakama ya mwanzo
 
Kwa katiba hii pendekezwa ya Ccm hata wakimuita na shetani asaidie Magamba HAIPITI! na hili ndiyo anguko la Ccm.
 
Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.

Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.

Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.

Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.

Mkuu watu wanaangalia mwenendo wa na kumbuka Tanzania ya sasa siyo ya kuwekewa jembe na nyundo eti mtu akichagua jembe sawa akichagua nyundo sawa. Kwa hivyo lolote linaweza kutokea na nchi ikiwa mikononi mwake.
 
Ikitokea tena Zbar wanauwawa tena watu hatasalimika mtawala
 
Kauli hiyo ni mbaya saana na kwa maana hiyo mengi saana hapa nchini yanapita kwa kupitishwa na watu Fulani ili kuepuka aibu na sio kutokana na uhalali....------ ------ ona aibu ivi unafikiri utaishi milele?
 
Mkuu watu wanaangalia mwenendo wa na kumbuka Tanzania ya sasa siyo ya kuwekewa jembe na nyundo eti mtu akichagua jembe sawa akichagua nyundo sawa. Kwa hivyo lolote linaweza kutokea na nchi ikiwa mikononi mwake.
Sijakuelewa unataka kusema nini.
 
Wewe punguani kweli unadhani ICC ni mahakama ya nyumba.

Wenye hiyo mahakama kila kukicha wanamualika Kikwete kwenye nchi zao kama mfano wa demokrasia africa.

Kikwete ndiyo mshindi wa tuzo ya utawala bora.

Tatizo lenu mnatumia fikra zenu.

huyu ritz ni punguani,sijawah ona amepost ki2 cha maana!
Akiambiwa na ccm ampige mama yake hawezi kusita,mpuuz!
Utawala upi bora unaouzungumzia?
1.kuwaomba wezi warudishe fedha then yaishe?
2.kuwakata watu mishahara kwa nguvu kuchangia maendeleo?
3.kupaa majuu kila uchao?
4.kulea mafisadi,mauza madawa na wahujumu uchumi?
This is the worst president ever in the history of Tanzania!
 
wewe ni msukule haya mambo huwezi helewa$
 
Jk ni zaidi unavyomjua uongozi wake uko makini sana hata marais wengi wa afrika kwake wanasubiri.
 
Punguani kweli kweli,atamsindikiza prof wa kichina The Hague

Back
Top Bottom