sawa pedro (Inafaa na wewe uwe KADA) (upo tayari kuvikwa UKADA??)
heh heh hehe, uliyosema ni kweli, lakini pia kuonekana kuchoka kwao pia naweza nikasema inachangiwa na kitu ambacho we have no control over, yaani MOTHER NATURE, jua likiamua kumulika pale mzizima na sehemu nyingine aisee utadhani kiama !
Nakupa mtihani kidogo: Katika kuproof kwamba ni kweli, hali ya hewa(jua kali) huchangia katika kuonyesha wananchi wamechoka, jaribu kuangalia kwa makini watu wa jinsia zote, umri wote, WAKATI WA JUA KALI, then make a note, halafu tena CHUNGUZA watu wa jinsi zote, umri wote wakati wa MVUA( au baada ya mvua kunyesha), halafu niambie kama hautoona tofauti ! (UTAGUNDUA WATU WANANG'AA BAADA YA MVUA,VUMBI HAKUNA, NK)
So, kama watu watailalamikia CCM kwa Jua kali (which nashangaa hadi sasa hajatokea mtu yoyote kusema CCM imeshindwa kupunguza joto la jua) i must say kwamba WAMESHINDA, na iwapo wapinzani wataweza kupunguza joto la jua, USIKU HUO HUO HATA KAMA NI WA MANANE, HAKI YA NANI NABADIRISHA KADI YANGU YA UANACHAMA WA CCM NA KWENDA UPINZANI !
Adios' !