Kikwete awadanganya watanzania - TENA

Kikwete awadanganya watanzania - TENA

nashangaa watu wanamudu kuishi vipi pale mzizima iwapo hawana kazi na bei za bidhaa zinazidi kufumuka siku hadi siku ( kufikia 300&#37😉 ! au wachawi nini ?
 
kwa bei hizo hapo juu, sidhani kama dar-es-salaam watu wangebaki hadi hivi sasa ! kwa ufahamu wangu mie ni kwamba wengi wao hawana kazi, hata kama wana kitu cha kufanya to earn a living, sidhani kama hata elfu 70 zinafika ! nadhani wote wangekimbilia nachingwea, mporipori, ukerewe, na kwingineko wakale mpunga !

...toa bei zako unazojua sio kubisha tuu then tuangalie kama sio zaidi ya hiyo 200% kwa bidhaa muhimu,hivi utaacha lini kutetea madhambi ya mafisadi.
 
nashangaa watu wanamudu kuishi vipi pale mzizima iwapo hawana kazi na bei za bidhaa zinazidi kufumuka siku hadi siku ( kufikia 300&#37😉 ! au wachawi nini ?

kwa kweli mie nashindwa kuelewa wa-TZ wana-survive vipi na maisha magumu like this!!!

yani vinakuwa kama vioja vya mwendawazimu kutopata kipindupindu wakati anakula jalalani daily!!

ukianzia mavitu ya hovyo tunayolishwa na wahindi kuja vimishahara vinavyotosha wiki moja tu hadi viongozi bomu wanaofaa kuwa perfect "HIGH BLOOD pressure making machines"!!yani!!

no wonder tunaambiwa tuko dunia ya tatu!!ubepari huu kweli umefika pabaya tanzania!!
 
kwani mkate ulikuwa unauzwaje kabla Kikwete hajaingia madarakani na leo hii mkate ni bei gani?
 
...toa bei zako unazojua sio kubisha tuu then tuangalie kama sio zaidi ya hiyo 200% kwa bidhaa muhimu,hivi utaacha lini kutetea madhambi ya mafisadi.

wewe nadhani UNANIATTACK MIMI KWA SABABU MIE NI KADA- swali langu, statement yangu hi SIMPLE AND CLEAR, nimeuliza watu wanasavaivu vipi na hizo bei iwapo watu wenyewe ajira ? vitu kuzidi kwa 300% unadhani mchezo babu ? hata kama wangekuwa na kazi still hiyo asilimia 300 ni kubwa mno, sasa halafu hawana kazi !

hayo ya kusema natetea mafisadi nadhani hiyo ni statement yako ! kama ningesema msimlalamikie JK kwa hizo bei, ndio ungesema hivyo !

!! Attack hoja na sio mtoa hoja !!
 
Tatizo kubwa la Tanzania ndio hilo la kutegemea muhindi wangu na wala sio bank manager. Ndio sababu unaona rais yuko kimya kwenye mikataba mibovu n.k. na kudiriki hata kusema ati hakukuwa na makosa. ONL IN TANZANIA.
 
kwa kweli mie nashindwa kuelewa wa-TZ wana-survive vipi na maisha magumu like this!!!

yani vinakuwa kama vioja vya mwendawazimu kutopata kipindupindu wakati anakula jalalani daily!!

ukianzia mavitu ya hovyo tunayolishwa na wahindi kuja vimishahara vinavyotosha wiki moja tu hadi viongozi bomu wanaofaa kuwa perfect "HIGH BLOOD pressure making machines"!!yani!!

no wonder tunaambiwa tuko dunia ya tatu!!ubepari huu kweli umefika pabaya tanzania!!

ndio hapo MKUU !!
 
gaaademu !! hadi mkate ! hehe heheeee, kweli hamtoweza kumuachia upenyo huyu mtu !

..kwa hiyo sasa unakubali mafisadi ndio wametufikisha hapo,sasa itabidi ujiunge nasi ili kuwapiga vita mafisadi
 
Insurgent hivi unaishi Bongo kweli??

Mifano michache toka 2006 hadi sasa
mkate from 300-1000 tsh
mche wa sabuni 500-1200
Maharage from 400-1200
Unga wa ngano kilo 1 from 300- 1000
Mafuta ya kupikia 3 lt from 2500-9000

Hii siyo kwamba nimegushi ni kweli kabisa nimekutana nayo maduka ya survey last friday!

Hapa nakwambia bei za DSM what about mtu aliyeko Kasulu? Ukerewe?Nanyamba? Bugomora? Mbamba bay Sumbawanga na Mpanda?

Usisahau mashahara ni 84 alfu tu!

Hizo bei za Supermarkets kubwa ambazo nyingi zimefunguliwa miaka ya karibuni. Unaweza kutoa vielelezo vya bei za 2006 kwenye masoko kama Tandale na sasa?! Hata hizo Supermarkets kubwa haziuzi mikate 1000 kama unavyodai.
 
Tuwekee bei basi wanayouza ili na sisi tufahamu.
 
mkate from 300-1000 tsh.....333%
mche wa sabuni 500-1200.....240%
Maharage from 400-1200......300%
Unga wa ngano kilo 1 from 300- 1000....333%
Mafuta ya kupikia 3 lt from 2500-9000....360.

Haya, tuendelee na mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha.
 
...this is fun maana kuna maneno mengine ukiyasikia kweli yanakupeleka mbali sana... MCHE WA SABUNI,sijalisikia hilo neno miaka mingi sana wajomba imebidi nifikirie mengi kama mapambano yangu juu ya mafisadi yanaelekea wapi
 
Hizo bei za Supermarkets kubwa ambazo nyingi zimefunguliwa miaka ya karibuni. Unaweza kutoa vielelezo vya bei za 2006 kwenye masoko kama Tandale na sasa?! Hata hizo Supermarkets kubwa haziuzi mikate 1000 kama unavyodai.

inasajenti mkuu,
unajua mie bado najiuliza wananchi wanasavaivu vipi pale mzizima na hizi bei halafu hawana kazi ??
ulichosema ni kweli kabisa, je yale masoko yanayojengwa na manispaa nazo pia zinapandisha bei ba kuuza bei hivyo kama walivyotoa awali ?
 
...this is fun maana kuna maneno mengine ukiyasikia kweli yanakupeleka mbali sana... MCHE WA SABUNI,sijalisikia hilo neno miaka mingi sana wajomba imebidi nifikirie mengi kama mapambano yangu juu ya mafisadi yanaelekea wapi

Ndo hivyo mkuu, hio ndio Tanganyika. Mwenzetu unaishi wapi ati?
 
Mifano michache toka 2006 hadi sasa
mkate from 300-1000 tsh.....333%
mche wa sabuni 500-1200.....240%
Maharage from 400-1200......300%
Unga wa ngano kilo 1 from 300- 1000....333%
Mafuta ya kupikia 3 lt from 2500-9000....360.

Haya, tuendelee na mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha.

masoko yote yanauza hivi au ? supermarkets zipi hizo zinauza hivyo ? nadhani hata kama biashara ni kugain profit sasa hiyo imekuwa opressing kwa wananchi wasiokuwa na ajira !

nakataa kabisa bei hazipo hivyo bana ! angalau maisha yanazidi kuwa magumu, lakini sio kihivyo kitu kuzidi up to 3 times than the prior price ! NAKATAA KATA KATA !! NA NASEMA HUO NI UONGO HALAFU NAUPINGA KISHENZI, kwanza nampigia shemeji AFANDE MWITA yangu simu sasa hivi nimuulize ! nitawajulisha sasa hivi !
 
inasajenti mkuu,
unajua mie bado najiuliza wananchi wanasavaivu vipi pale mzizima na hizi bei halafu hawana kazi ??
ulichosema ni kweli kabisa, je yale masoko yanayojengwa na manispaa nazo pia zinapandisha bei ba kuuza bei hivyo kama walivyotoa awali ?

kada, hivi kweli unaamini Tanzania mtu anaweza kuishi kwa kutegemea mshahara wake? Watu pekee wanaoweza kuishi hivyo ni wale ambao chakula, malazi na vikolombwezo vingine vinalipwa na wengine!
 
ehee BATHII mwenzio baba juzi katuahidi MWAKANI anatujengea VIWANDA VIWILI VYA SIMENTI MTWARA NA SHINYANGA...DOLII DOLII TUNAPATA AJIRA BASII NA BEI YA SARUJI INASHUKA...BABA YETU HUYOOOOOOO!!!!
 
..kwa hiyo sasa unakubali mafisadi ndio wametufikisha hapo,sasa itabidi ujiunge nasi ili kuwapiga vita mafisadi

hapana, SIJAUNGA MKONO, bali nimetoa mshangao, niwaunge tela lenu hilo linalosuasua bana msije mkaniacha njiani ! acheni tu nimalizie safari yangu na hao mnaowaita Mafisadi, kwanza kila mtu akibase upande mmoja (haipendezi) nyie kaeni huko huko mlipo, na sie tukae huku tulipo (au nyie mje huku tulipo maana binfasi sina hata chembe ya kusikia kampeni zenu chafu zilizojaa chuki na uwongo,angalau saa nyingine mnakuwa na hoja nzuri)!! hehe ehheeee, lakini ukweli !
 
Back
Top Bottom