ViciousRecklessSavage!!!
Senior Member
- Jun 23, 2007
- 105
- 1
Jokofu Kiwete aidha unazungumzia vitu ambavyo huvijui au umeamua tu kutukana watu. Kwa taarifa yako watu walio majuu wanapiga kazi kishenzi and every minute they work will be counted and paid and every minute they rest will be deducted from their pay check.
Hela wanayotengeneza hukatwa kodi, mahitaji yote ya kila siku kila wanaponunua pia kodi hukatwa (VAT or something) kwa hiyo ukisikia budget ya bongo inategemea 40% kutoka nje basi ujue hapo kuna ka-percent cha wabongo wanaofanya kazi nje, indirectly wanaisaidia bongo vilevile, kwa sababu hela inayotumwa na wafadhili ni hela ya walipa kodi wa nchi za nje.
Hela inayotumwa na waafrika walio nje kwenda africa hapa namaanisha hard cash every year ni zaidi ya 40 billion Dollars. Inasadikika hard cash wanayoituma waafrika kwa ndugu zao afrika inazidi hela ya misaada inayotoka kwa serikali za nje. Hela hizo husaidia kusomesha watoto wa ndugu, hela hizo husaidia ndugu kufungua biashara ndogondogo na kujiajiri.
Jokofu Mze mzima heshima mbele acha kutoa kashfa zako kwa watu ambao wametafuta alternative and they are making a difference in their own way.
Sawa nimekusikia ila punguzeni tabia ya kumkandia Kikwete kila siku. Kila mara ni kulalamika na kukosoa serikali kwa tu kutumia destructive criticism, antagonism & slanderous allegations utadhani hakuna mazuri yanayotendeka.