mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,758
Kazi kwenu manabii na wabashiri...
UsinikumbusheWaliyoyazungumza kuhusu Magufuli..
cc Pascal Mayalla
Heheh naona katumwa akawatulize Acacia
Ametumwa akawaambie kuwa kilichofanyika ni Public Stunt ili 2020 mchezo uendelee kwani Wapinzani wakiingia Makinikia ni story
Kwahiyo kuna uwezekano wamekutana uwanja wa ndege.Pengo anaumwa, alikuwa kwenye matibabu Marekani na tulitangaziwa kwamba yupo safarini kurejea hapa nchini. Hivyo ni hakika kwamba hapo yupo njiani kurejea nchini.
Kikwete ana mambo mengi na washkaji wengi huko nje sasa akienda kuwatembelea kuna shida gani?
Duh hawa waandishi wetu bwana matatizo tu, lakini yawezekana wameona kutumia jina UAE halijazoeleka sana kuliko jina la mji mashuhuri Dubai.Kwenye red hapo! Very interesting
Wabunge wa upinzani wanampenda na kummiss sana mheshimiwa Kikwete, Rais mstaafu. Walilipuka kwa shangwe alipotokea siku moja Bungeni.Heheh naona katumwa akawatulize Acacia
Ametumwa akawaambie kuwa kilichofanyika ni Public Stunt ili 2020 mchezo uendelee kwani Wapinzani wakiingia Makinikia ni story
Hiyo siyo big deal"Mhadhama" ndiyo mnyama gani? Hata rais hajui kuandika Kiswahili.....tumekwisha!
Baada ya barrick atamtembelea dr SlaaAnaenda Barrick/Acacia HQ kuweka mambo sawa huyo Cardinal ndio atakuw dalali kwa Magu!!!!
Naona pumzi inakata kwa kasi sana kuhusu makinikia. TUNASUBIRI TRIL. 108.Wabunge wa upinzani wanampenda na kummiss sana mheshimiwa Kikwete, Rais mstaafu. Walilipuka kwa shangwe alipotokea siku moja Bungeni.