Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Tunapodai hawa jamaa kuondolewa kinga Lumumba hawaelewi, sasa sijui kama hata hiyo inayoitwa nia njema kama ina nafasi tena.
....Anaenda Barrick/Acacia HQ kuweka mambo sawa huyo Cardinal ndio atakuw dalali kwa Magu!!!!
.....mzee si wamchezo mchezo hata hayaogopi makinikia yeye ni bata tu kwa kwenda mbelee
....Acacia wako huko!?
Ndio hivyo, kwa safari ndefu kama hizo na kama kuna muda mrefu wa kusubiria flight connection mtu anaweza kubook hotel ili apumzike wakati wa kusubiri. Na kwa mtu mzito na mgonjwa kama Kardinali hilo ni jambo la heri kabisa. Haipendezi mzee kama huyo akae airport masaa na masaa anasubiria ndege wakati sehemu za kupumzikia zipo.Kwahiyo kuna uwezekano wamekutana uwanja wa ndege.
Very possible. Hii inawekana kama TRL wale wahindi waliacha mabehewa mwenyewe hakujilikana hadi Leo yamekua kama daladala yanapiga safari pugu to station. Hii acacia itakua ya wabongo nilikua napata mashaka GM wa acacia anapinga ripoti bila kuogopa serikali. This happen only in TanzaniaBarrick gold wanamilikia 64% sasa hizo 36% hatujajua nani ni mmiliki halali wanaweza kuwa wapo hapa hapa Tz mdomo mako kbs.
Mimi nasubiri Noah yangu tuu.Naona pumzi inakata kwa kasi sana kuhusu makinikia. TUNASUBIRI TRIL. 108.
Na kuna mtu amesema kirefu cha makinikia ni MWANAUME ANGETUIBIA KISHERIA NI KIKWETE ANGEIONA.hiyoKuna mtu aliniambia kirefu cha BAVICHA ni "BAraza la VIlaza wa CHAdema" nilikuwa na mashaka na maneno hayo sasa nimeamini.
Wapo wapi kwani? Maana hapa Nchini si mmesema kwamba hawajasajiliwa!Acacia wako huko!?
Mkuu mambo mengine ni ya kupotezea tu! Kwamba Kikwete hajui kuandika Kiswahili kwa sababu tu ya hiyo typing error? Hatuwezi kwisha!"Mhadhama" ndiyo mnyama gani? Hata rais hajui kuandika Kiswahili.....tumekwisha!