Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

MKUU NI SAFARI ZA KAWAIDA AU NDO WANAANZA KUKIMBIA NCHI KISIRI SIRI??
 
KARUDI BABA MMOJA ...TOKA SAFARI YA MBALI
WATOTO WAKE WAKAJA ...ILI KUMTAKA HALI
KUMTAKA NA KAULI...WAIPATE MALI


nimesahau kidogo......... was a good song.
Karudi Baba mmoja toka safari ya mbali
Kavimbayote mpaja na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja ili kumtaka hali
Wakata na kauli iwafae maishani .......

Nakumbuka mpaka hapo .....!!

Unanikumbusha na mambo ya "SIKIRI MI MASIKINI, ...."
 
Jamani jamani naombeni ule mgawo wangu sasa elekezeni huko kwenye mrabaha, maana Ngosha anamaindi kinoma...nawaza tu kwa sauti
 
Hofu yangu ni kwamba JF nayo itafungiwa, maana mnaongelea wastaafu wakati mkuu kakataza
 
Anakwenda Canada kuweka mambo sawa
Huyo ndiye mwenye migodi aliyeiuzia Barrick. Magu angenegotiate naye arudishe angalau mapato fulani bongo yalinufaishe taifa.

Ni hatari utajiri kuhodhiwa na mjinga na mpumbavu huku taifa zima macho kodo.
 
Kikwete ana mambo mengi na washkaji wengi huko nje sasa akienda kuwatembelea kuna shida gani? Mstaafu akikaa ntumbani atazeeka sana na kufa mapema. Mwacheni atembee jamani!
 
Pengo siku hizi ni mmisionary katumwa kuhubiri salam Maria Dubai?
Pengo anaumwa, alikuwa kwenye matibabu Marekani na tulitangaziwa kwamba yupo safarini kurejea hapa nchini. Hivyo ni hakika kwamba hapo yupo njiani kurejea nchini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom