Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

Hujui accacia ime originate wapi wakuu wake wametokea wapi hujui hq za barrick ziko wapi sasa mtateteaje haki za wanyonge

Sasa kwanini hakutaja Barrick?
Mnaniquote mnafikiri sijui naloandika eeeeeh.. muwe mnafikiria kwanza shaaaaa
 
namuona yeye peke yake na wanaume wengine watatu
5c537acf1ba96180f2091345e4c097e9.jpg
 
Nasikia CANADA ndio makao makuu ya Barrick.Huenda ameitwa huko na wanaume!
 
Kaenda kurekebisha mambo ya diplomacy magu si mnajua kaharibu.anawaambia zile zilikua siasa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom