Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

Hii safari iwe na mafanikio ili nitimize ndoto yangu ya kumiliki Noah.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
anakwenda kuwapeleka barua ya kuomba msamaha kutoka kwa ngosha!! We subiri Noah yako utachongewa na mafundi carpenter wa muhimbili_au wa pale karibu na geti la mochwari mount meru hospital.m
 
"Mhadhama" ndiyo mnyama gani? Hata rais hajui kuandika Kiswahili.....tumekwisha!
Hata kama umeguswa sana tujaribu kuheshimu dini za watu hata kama kiongozi wao ameteleza. Ni ushauri wangu tu huo wakuu.
 
Watz kuna mchezo mnachezewa hapa.watu wanakula nchi tu
 
"Mhadhama" ndiyo mnyama gani? Hata rais hajui kuandika Kiswahili.....tumekwisha!
Neno sahihi la kumtaja kiongozi huyu wa dini (Kardinali wa Kanisa la Katoliki) lilikuwa "mhashamu" ambalo kiingereza ni "His Eminence" au "His Most Revered Eminence".
 
Neno sahihi la kumtaja kiongozi huyu wa dini (Kardinali wa Kanisa la Katoliki) lilikuwa "mhashamu" ambalo kiingereza ni "His Eminence" au "His Most Revered Eminence".
Kardinali anatamkwa "Mwadhama"
Askofu na Askofu Mkuu "Mhashamu" na labda ndicho kilichomchanganya raisi mstaafu, kiingereza ndo kama ulivosema...cardinal...> His eminence.
 
Kardinali anatamkwa "Mwadhama"
Askofu na Askofu Mkuu "Mhashamu" na labda ndicho kilichomchanganya raisi mstaafu, kiingereza ndo kama ulivosema...cardinal...> His eminence.

Shukurani.

Na mimi nilikumbuka hilo, nikaangalia kamusi kuu, ila nikaangalia "Muhadhama" nikalikosa.

Nimeangalia Mwadhama nimeliona.

Kwa hiyo JK kama kakosea ni spelling tu, kitu ambacho kinaweza kuwa lahaja kwa sababu lahaja tofauti za Kiswahili zinatofautiana.

Nishawahi kugombana na mtoto mmoja wa Mwinyi alivyokuja Dar kutoka Zanzibar kwa sababu alikuwa anakataa kuweka "u" ya mwisho kwenye neno "Mwalimu", akitaka Kiswahili kinachonasibu kiarabu zaidi.
 
hata wastaafu walipaswa kupigwa ban kwenda nje ya nchi. marais wastaafu hasa awamu ya 3 na 4 wametuangusha sana katika kulinda rasilimali zetu.
 
Amsalimie dokta slaa hko.. Hapumziki....mbona tuliambiwa tumwache apumzike!! Au kaenda kupumzikia hko?
 
Kwa taarifa za uhakika nilizozipata ni kuwa Polycarp Pengo alikuwa Marekani akitibiwa kwa takribani mwezi mmoja, ktk safari yake ya kurudi Tanzania alipitia Dubai na daktari wake alimshauri apumzike hapo Dubai walau kwa siku moja hivi na akafanya hivyo(ilikuwa juzi tarehe 15 Juni 2017), sasa Mkwere kapita hapo na kufanya aliyoyafanya kupitia media (photos) . Itoshe pia kusema Polycarp Pengo anawasili leo safari yake hiyo na anatua uwanja wa ndege JNIA , anayependa kujua hilo anaweza kufuatilia zaidi- lakini habari ya uhakika ndiyo hiyo.
mwarabu ni kama maji,usipomuoga utamnywa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom