Utafungiwa miezi24Hivi nilisikia vibaya au ni uwelewa wangu mdogo, Mhe.Nchemba si kasema wahusika wa Makinikia wasisafiri? Au huyu au yupo?
Bon voyageanakwenda Canada, bona vayage
Haujui maana ya mrabaha mkuuCanada na Pengo plus mshauri wa JPM suala makinikia....nawaza tu kama suala limeisha watalipa kiasi kama 10% na kupandisha Mrahaba kuwa 35 kwa 65 au ni mileage ku kwa Sizonje kuombe kura....hizo pesa zitawekwa kwenye reli hadi Dodoma.....nawaza tu
mpe hiii
Wewe unajua inatoshaHaujui maana ya mrabaha mkuu
sema ana kazi za kufanya. acheni uabunuasiPamoja na unayoyasema pia nafikiri ana hobby ya kusafiri
Tanzania ni nchi ambayo watu wake wenhi ni wenye chuki, wivu na majungu. Tabia hizi huwafanya watanzania kuwa watu wa ajabu, watu wanaofikiria kila mara kuwa wao wamekuwa na matatizo kwa sababu ya watu wengine wana maisha mazuri. Wanadhani wamekuwa fukara kwa sababu wazungu ni matajiri. Hata miongoni mwao, maskini wanadhani wamekuwa maskini kwa sababu akina Mengi, Bakhresa, Karamagi, n.k. ni matajiri. Kwa sababu hawajui sababu halisia ya umaskini wao, ni vigumu kwao kuondokana na umaskini.Anakwenda Canada kuweka mambo sawa
Hamkosagi la kusema. Safari yake ya Canada ilikuwepo kwenye Diary yake tangu Mwaka jana.Anakwenda Canada kuweka mambo sawa