Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

Kikwete amtembelea Kardinali Pengo Dubai

jambo la kheri kutembelea wagonjwa ,ni jambo limpendezalo mno Allah..vyema Jk
 
KARUDI BABA MMOJA ...TOKA SAFARI YA MBALI
WATOTO WAKE WAKAJA ...ILI KUMTAKA HALI
KUMTAKA NA KAULI...WAIPATE MALI


nimesahau kidogo......... was a good song.
BABA YETU WATHAMANI
SISI TUNATAKA MALI
URITHI TUNATAMANI
MALI YETU YA HALALI
KAMA TUNATAKA MALI
TUTAPATAJE SHAMBANI

NA WATOTO KWA UMOJA
WAKAKUMBUKA KAULI
KAMA MNATAKA MALI MTAYAPATA SHAMBANI
 
KIKWETE+PICHA.jpg


Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amemtembelea Mhadhama Polycarp Kardinali Pengo, nchini Dubai leo.


Kikwete ameandika katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter leo(Ijumaa) na kueleza kuwa amemkuta Kardinali Pengo akiwa mwenye siha njema.

Ingawa hajaeleza amemkuta Kardinali Pengo nyumbani au Hospitali lakini askofu huyo mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, amewahi kuripotiwa kuwa yupo nje ya nchi kwa matibabu.

“Nikiwa Dubai safarini kwenda Canada, nimemtembelea asubuhi hii Mhadhama Polycarp Kadinali Pengo na nimefarijika kumkuta akiwa na siha njema.” Ameandika Kikwete

Kikwete amesema amemtembelea Kardinali Pengo wakati akiwa safarini kuelekea Canada.


Chanzo: Mwananchi
Kuna nini Canada? Anamfuata bosi wq Accacia au?
 
IMG_3983.JPG
IMG_4130.JPG

IMG_4021.JPG

INTERNATIONAL ADVISORY BOARD
The International Advisory Board was established to provide advice to Barrick’s Board of Directors and management on geo-political and other strategic issues affecting the Company.
 
mzee si wamchezo mchezo hata hayaogopi makinikia yeye ni bata tu kwa kwenda mbelee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom