Kadinali Pengo alikuwa Marekani kwenye matibabu, hapo yupo safarini kurejea nchini.Askofu tena cardinal kutibiwa Dubai badala ya Vatican hili nalo neno
Kadinali Pengo alikuwa Marekani kwenye matibabu, hapo yupo safarini kurejea nchini.Askofu tena cardinal kutibiwa Dubai badala ya Vatican hili nalo neno
chezea,wewe hadi marehemu abdallah Ali malima ilibidi atumie jina la kiasili la kighoma ili apate kusoma itakuwa Jakaya,ambae pia aliitwa khalfan ila akaamua atumie majina ya kiafrika jakaya kikwete ili asome,Umenichekesha kweli, enzi zile Jakaya akiitwa Mathew![]()

Ya kiarabu?Pengo huwa ana nyumba yake ndogo kule..
?
umesahau na tundu moja muhimu.Ha ha haaaa
Naona mmepata lingine la kuongelea siku ya leo juu ya safari hiyo ya Canada.
Mimi yangu macho na masikio.
Ina maana kwa akili zenu mlidhani mzungu anaweza kumyenyekea mweusi kwa heshima kama hizi bila kuwa na sababu ya pumbazo hili?Ukiunganisha makinikia na hii safari unapata jibu.
Mbona nakuonaga kama muelewa hivi lakini dini za wakoloni zinakufanya unakuwa mjinga kabisa?chezea,wewe hadi marehemu abdallah Ali malima ilibidi atumie jina la kiasili la kighoma ili apate kusoma itakuwa Jakaya,ambae pia aliitwa khalfan ila akaamua atumie majina ya kiafrika jakaya kikwete ili asome,
nasikia kanisa lilikuwa halitaki kabisa majina ya kiarabu,
leo hii anakwenda kujiuguzia hukohuko Dubai,
Huyu aelewi hawa waarabu wanakuja wengi sana kutibiwa Munich Germany.Mbona nakuonaga kama muelewa hivi lakini dini za wakoloni zinakufanya unakuwa mjinga kabisa?
Hivi Dubai zaidi ya sifa ya holiday na biashara ni nini kingine kitamfanya mtu aende Dubai zaidi ya kupita transit kama amepanda Emirates? Yani unaamini kabisa raia wa Vatican anaweza kutibiwa Dubai? Ndio maana sishangai kusikia Mange ana masters ya Dubai.
Mhhh canada wakat huu, afu si alisema anaenda kupumzika na kuchunga mifugo yake, hiyo mifugo inafugiwa angani! Huyu jamaa ndo chanzo cha kufanya ze don analia mbele ya cameraKikwete ana mambo mengi na washkaji wengi huko nje sasa akienda kuwatembelea kuna shida gani? Mstaafu akikaa ntumbani atazeeka sana na kufa mapema. Mwacheni atembee jamani!
Karudi Baba mmoja toka safari ya mbali
Kavimbayote mpaja na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja ili kumtaka hali
Wakata na kauli iwafae maishani .......
Nakumbuka mpaka hapo .....!!
Unanikumbusha na mambo ya "SIKIRI MI MASIKINI, ...."
kwani Germany sio nchi ya kiarabu mkuu?Huyu aelewi hawa waarabu wanakuja wengi sana kutibiwa Munich Germany.
Kabla ya noah tunataka elfu hamsini zetu halafu vile vijisenti vya Rada mchanganuo bado hatujapata huu mwaka wa tano.Kitambo kidogo... umri umeenda..
Wacha JK AKASOLVE CANADA TUPATE NOAH ZETU.
Wewe aliyekuroga kafa, basi umeshinda na Vatican ndio makao makuu ya Answari sunna. Hawa waarabu waliwaaribu kitu gani humo vichwani mwenu?kwani Germany sio nchi ya kiarabu mkuu?
Kajidanganya kukataza maana watu wakikatazwa kusema kwa sauti hunong'ona.Hofu yangu ni kwamba JF nayo itafungiwa, maana mnaongelea wastaafu wakati mkuu kakataza
Dubai kuna Dubai Healthcare City ......... siyo mahali pa mchezo!!Mbona nakuonaga kama muelewa hivi lakini dini za wakoloni zinakufanya unakuwa mjinga kabisa?
Hivi Dubai zaidi ya sifa ya holiday na biashara ni nini kingine kitamfanya mtu aende Dubai zaidi ya kupita transit kama amepanda Emirates? Yani unaamini kabisa raia wa Vatican anaweza kutibiwa Dubai? Ndio maana sishangai kusikia Mange ana masters ya Dubai.
Dubai? What the hell is he doing there? l mean Pengo![]()
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amemtembelea Mhadhama Polycarp Kardinali Pengo, nchini Dubai leo.
Kikwete ameandika katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter leo(Ijumaa) na kueleza kuwa amemkuta Kardinali Pengo akiwa mwenye siha njema.
Ingawa hajaeleza amemkuta Kardinali Pengo nyumbani au Hospitali lakini askofu huyo mkuu wa jimbo la Dar es Salaam, amewahi kuripotiwa kuwa yupo nje ya nchi kwa matibabu.
“Nikiwa Dubai safarini kwenda Canada, nimemtembelea asubuhi hii Mhadhama Polycarp Kadinali Pengo na nimefarijika kumkuta akiwa na siha njema.” Ameandika Kikwete
Kikwete amesema amemtembelea Kardinali Pengo wakati akiwa safarini kuelekea Canada.
Chanzo: Mwananchi