Sandinistas
JF-Expert Member
- Jul 5, 2013
- 2,616
- 1,778
Nilidhani ni amri ya mahakama tu ndiyo inayoweza kumpa raia huru masharti ya kusafiri nje ya eneo fulani.
Ni wapi Nchemba alilitaja jina la Kikwete na atamzuia kwa sheria zipi?Hivi nilisikia vibaya au ni uwelewa wangu mdogo, Mhe.Nchemba si kasema wahusika wa Makinikia wasisafiri? Au huyu au yupo?
SIKILI mimi maskini,uvivu wangu nyumbani,ukiwa huu njiani,nakufa hapa kwaniniKarudi Baba mmoja toka safari ya mbali
Kavimbayote mpaja na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja ili kumtaka hali
Wakata na kauli iwafae maishani .......
Nakumbuka mpaka hapo .....!!
Unanikumbusha na mambo ya "SIKIRI MI MASIKINI, ...."
Upo sahihiWaseminari wamekutana (joke)
Subiri account tuifunge kwa miezi 36Hivi nilisikia vibaya au ni uwelewa wangu mdogo, Mhe.Nchemba si kasema wahusika wa Makinikia wasisafiri? Au huyu au yupo?
Duh..watu mnajua kuunganisha dotCanada? Barrick makao makuu yako nchi gani wakuu?
Pengo alikuwa anapita tu (On transit) akitoka US kutibiwa kurudi nyumbani,wakati JK anaenda Canada via Dubai.Mbona nakuonaga kama muelewa hivi lakini dini za wakoloni zinakufanya unakuwa mjinga kabisa?
Hivi Dubai zaidi ya sifa ya holiday na biashara ni nini kingine kitamfanya mtu aende Dubai zaidi ya kupita transit kama amepanda Emirates? Yani unaamini kabisa raia wa Vatican anaweza kutibiwa Dubai? Ndio maana sishangai kusikia Mange ana masters ya Dubai.
Bora, maana nyimbo huwa zinatoa huzuni!!SIKILI mimi maskini,uvivu wangu nyumbani,ukiwa huu njiani,nakufa hapa kwanini
Sadiki sasa ashiba,chakula kingi kwa baba,nirudi tena kwa baba nakufa hapa kwanini.....
Tuendelee tu kuimba
Sawa mkuuhakutajwa, acha uchochezi