Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 751
- 3
sio jambo jema kuweka clip ya jangwani hapa kisha ukiiona itakusaidia nini? baba yao akikaa uchi na ikawekwa clip hapa utafurahi?
Mkuu Luiza Gama hakuna ubaya kama unavyofikiri wewe ...we dare... hapa JF. Zimeweka picha za mtu amechomwa Kimara, zina maelezo yanayotoa mwongozo kuwa si nzuri na hakuana aliyesema zitolewe. What is so special being a human-president and a humanbeing? Kwa aliyeona ameona na huwezi kufuta historia...anyway karibu sniffer!