GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

au kuna jini pale...

Labda panaweza kuwa na upako. Si unajua pale ndipo inapoendeshwe mikutano yote ya injili? Pametiwa mafuta pale, ni patakatifu, wanapaombea watu kila siku. Sasa kama yeye ana nguvu za Bagamoyo basi pale siyo mahali pake. Tena napata wasiwasi kwamba nguvu za Bagamoyo huwa ndiyo zinachemka na kumwangusha muungwana, maana hata Mwanza alianguka wakati anahutubia mkutano wa kanisa (African Inland Church). Nampa pole. Lakini akiona mambo yanamzidia aje tumuuombee.
 
Inawezekana ikawa ni saumu kutokana na mazingira yaliyopo. Bila shaka tangu asubuhi alikuwa na kazi nzito za kichama katika kuhakikisha maandalizi yanaenda vizuri. Pole yake.
Unataka kusema kina Makamba. mzee karume. mzee mwinyi, Balali na wengine woooooooooote hawajafunga? Hapa inabidi watu tuelezwe nini tatizo na Raisi wetu? Maana kuona Raisi anadondoka mpaka anashindwa malizia hotuba yake, ni hatari kwa nchi hii. Bila kuangalia siasa wala nini. Ukizungumzia Tanzania moja kwa moja unaongelea ofisi ya Raisi ambayo yeye ndio Kiongozi. Tanzania bila raisi haipo. Tutakuwa na vikabila vingi tuuu. Kwa hiyo swala sio kwamba Kikwete hapana, Bali Raisi wa nchi hii kuanguka anguka bila sababu ya maana kwa wananchi ni sooo.
 
..maelezo yatakuwa Raisi alikuwa amezidiwa na swaumu.

..nadhani hii ni calculated move kutafuta kura za huruma za Waislamu.

..nashauri Slaa,Lipumba,..na wagombea wote wa Uraisi wajibwage kwenye majukwaa na kusingizia swaumu.

Hebu wacheni unafiki jamani mtu mzima ajiangushe uwanjani kwa kutaka kura?
 
unalinganisha CHADEMA na CCM ambao bajeti yao ya ushindi tu tuliyopewa tuifungie mkanda ni bilioni 50????.sintashangaa kusikia mgombea wa upinzani analala guest au anakula gengeni ..serikali lazima iwape huduma nzuri maana wakipata madhara tutafanya uchaguzi wa marudio....mwaka 2005 walitumia karibu bilioni 150!!

Moja ya strategy kuwa na wagombea urais wengi ni hii. CCM wakiona wanazidiwa wanampa polonium mmoja wa wapinzani ili ku extend muda wa mchezo na kuwachosha wapinzani kifedha. Uchaguzi ni game na ukijua kuicheza kila siku utakuwa mshindi.
 
mbona kuna mtu kaandika alilamba mchanga? Na wasaidizi hawakufanya kitu?.......tuelezeeni katika hali ya uwazi na ukweli.........!
Nilichokiona mimi ni alifikia hatua ya kukaa chini kabisa lakini hakulala,sababu jamaa
aliivuta mikona yake
 
Hakika kama angekuwa mtu wa kusoma nyakati angeanza kusoma wakati alipodondoka jangwani kipindi kile lakini kwa kuwa madara ka ya nchii hii mengi ni kupitia mapepo na waganga anakuwa amefichwa ufahamu ...bila kujua kuna waliomzidi kwenye mambo haya yanamkuta yaliomkuta leo ....huu ni ujumbe tu kwa walio karibu na rais msihangaike kwenda bagamoyo kutafuta mchawi wachawi ni nyie wenyewe tunaomba mumpeleke RAIS wetu akaombewe yamtoke hayo madumizi yanayomwangusha mara kwa mara kwa nini asianguke marekani kila siku yuko huko na mbele ya wazungu wenye akili zao akaangukie jangwani kuna nini

Mleteni ufufuo na uzima anaitaji toba ya kweli ili afunikwe na damu ya yesu aachwe kudanganywa na watu wanaompeleka peponi matokeo yake anakumbana na aibu hadharani

Dear Presida
Kwa upendo nilio nao kwako elekea kati ya hivi vituo vya deliverance

UFUFU O NA UZIMA

FULL GOSPEL CHURCH

KANISA LA MAMA RWAKATARE

EFATHA

VICTORY FAITH CHURCH

Na kanisa lolote lililo karibu na wewe uapate kusafishwa na DAMU ya YESU

Mungu akubariki presidaa una megi mbeleni mwako na wabaya wako na wewe nyuma yako we unaona marafiki zako
 
Nadhani sasa hivi anajua tu kwamba lazima mijamaa ya kule JF inammwagia sumu kali!.
 
Na wewe yote haya ya nini?
 
Oyaa nyie mashabiki wa muungwana si mmeambiwa kwamba mitandao si ishu na watanzania hawadanganyiki sasa inakuwaje mko bize kutetea hata yale yaliyo dhahiri???????
 
hakuna kinachojulikana lakini nadhani ni mtoto mdogo hajakomaa hata 2005 mambo yalikuwa hivihivi
Wala si mtoto.inaonyesha wewe ulivyo na mawazo ya kitoto.Hata kupambanua lipi lakusema huwezi. Aibuuuuu
 
sio jambo jema kuweka clip ya jangwani hapa kisha ukiiona itakusaidia nini? baba yao akikaa uchi na ikawekwa clip hapa utafurahi?

.......no of posts 5.......

.....kama ipo iwekwe...kama baba yangu angekuwa rais hiyo ndio ada yake ...zinawekwa clip za kina bush sr wanatapika kwenye dhifa ,itakuwa ya jk....wekeni ...au kama vipi nendeni you tube watakuwa wameshaiweka lazima!!
 
Back
Top Bottom