Mweeeeeeee!ina maana sisi kama nchi tulikosa huduma ya rais/Amiri jeshi mkuu wa majeshi na usalama kwa dk ishirini hivi?
Naona afya ya mkulu siyo ishu (kwa mujibu wa Salva Rweyemamu)
Hivyo tunavyoshadidia hapa wanatuona wakuja kwakuwa hawawezi kuvunja mwiko wa kusema yanayomsibu Vasco kinagaubaga
Ninahisi kama wewe mkuu.Kikwete hakuanguka ghafla si mlisikia akisema Aisee, halafu angalia midomo yake alipokuwa anasema hivyo. Hiyo sio ghafla.
Kikwete hakuanguka ghafla si mlisikia akisema Aisee, halafu angalia midomo yake alipokuwa anasema hivyo. Hiyo sio ghafla.
Mkuu ukizitaka sema ninazo kwenye makataba yangu! Naona leo wale jamaa zetu wapo wengi sana
Sipendi mnavyodhihaki.
Ivi mzazi wako angekutwa na hali ile, utakua utamtania "aisee" akikuudhi?
Jamani tuwe na busara katika hili.
Angefanya vile kwa kukusudia au kumlinda fisadi flani, ningewaelewa.
Nakuaminia mzee kumbukumbu muhimu bila kufanya hivo hawa CCM hawachelewi kukataa kuwa hakuna mtu aliyeanguka. Wakitoa tunabandika hata mimi nime download ninazo zote hadi video.
......kikwete ameshaanguka mara 4[nne] hadharani...yaani mara mbili jangwani na mara mbili kirumba mwanza [ikiwemo aliyoanguka kwenye shughuli ya kanisa la AIC-hakuwa amefunga ].....na pia amewahi kuzirai mara kadhaa akiwa ndani,.....according to insiders.......
there is a problem ...!
pia nime note kwenye hutuba yake kuwa anasoma sana mitandao....ametoa moja " siku hizi tanzania kuna mitandao ...kwenye mitandao wanaandika sana sana ...lakini nawaambia kuwa ..watanzania hawadanganyiki..."