Tatizo lako unaangalia nyuma sio mbele
ohh ... aiseee (I see / I say)
Tatizo lako unaangalia nyuma sio mbele
Si mimi, haya ni maandishi ya busara zako JK 90% Slaa 15% Lipumba 5%JK 90% Slaa 15% Lipumba 5% - By jeykey Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Naona inakuuma kuona JK apita kiurais
ohh ... aiseee (I see / I say)
Tatizo la wanaokuja hapa na kuanzisha majina mengi mengi hawaji kwa hoja wao wanakuja kwa lengo la kukanusha si kutoa hoja ni sawa na kusema YES mwingine aseme NO bila kufafanua, kwa hiyo wanajikuta wanashindwa.Hapa ni mpaka kieleweke mkuu. Wao wanajidai kuwa wamekamata media zote bongo. Ngoja wapate cha moto hapa JF.
According to insiders, Kikwete analalamika sana kuwa hatumpi chance hapa JF. Si unajua tena baba yule kwa kupenda ujiko hajambo. Angependa sana kuona akisifiwa hapa kama vile ITV, TBC, Channel 10, Star na wale wapiga domo wa power breakfast (clouds FM) wanamvyomsifia kila siku.
Samahani mkuu nilitaka kumjibu huyu jeykey kumbe nimequote post yako
Hawana akili hiyo mawazo yao yote kwenye mashangingi umwambie Msekwa anunue ambulance badala ya shangingi atakuelewa, lakini waache watambe na mali ya serikali siku zao zinahesabika.CCM wanao uwezo wa kununua ambulance yao kwa sababu ugonjwa wa rais si siri. Kwa nini hawakufanya hivyo na badala yake wanawanyima wakazi wa Mwanza chombo chao cha dharura?
Kuna suala hapa hatujaligusia bado. Kwingineko kwenye mabandiko humu nimesoma msafara wa Kikwete "umeteka" ambulance pekee wanayotumia hospitali ya Bugando sasa iko kwenye msafara wa rais wakati wa kampeni zake huko Lake Region. Ina maana ikiwa kuna mgonjwa wa dharura pale Mwanza hakuna ambulance sasa ya kumhudumia. CCM wanao uwezo wa kununua ambulance yao kwa sababu ugonjwa wa rais si siri. Kwa nini hawakufanya hivyo na badala yake wanawanyima wakazi wa Mwanza chombo chao cha dharura?