GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Ninamwombea kwa Mungu akianguka tena asiamke milele!

....puuuuuu!

...temea pembeni Mw'Mungu apishilie mbali.
Pamoja na wadhifa alionao na mapungufu yake, ana mke na wanawe.
Pia anao ndugu jamaa na marafiki wamjuao tangia utotoni, Kibaha Sec, UDSM, jeshini nk..

Chuki mchukie lakini ana haki zake za kibinaadamu.
Usituombee msiba bana.
 
bk8.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Jakaya M. Kikwete akiwa amejiegamiza jukwaani (kushoto) huku akimsikiliza mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Jasson Rweikiza (Bukoba Vijijini).

Usawa huu lazima ajiegamize, huyo aliyeandika caption kanote kitu hiki.
 
Sipendi mnavyodhihaki.

Ivi mzazi wako angekutwa na hali ile, utakua utamtania "aisee" akikuudhi?

Jamani tuwe na busara katika hili.
Angefanya vile kwa kukusudia au kumlinda fisadi flani, ningewaelewa.
Aiseeee
 
Mkulu Quinine,

ile thread yako yenye kuonesha video ya Kikwete anaanguka iko wapi? so far sijaiona (au labda huu uzee nao umeanza kuniingia).
 
Mkulu Quinine,

ile thread yako yenye kuonesha video ya Kikwete anaanguka iko wapi? so far sijaiona....
Hata humu ilikuwepo ikatolewa, sijui kwa nini JF admin hawaoni umuhmu wa kidhibiti hicho kuwemo ukurasa wa mbele. Halafu eti sisi ndio tunaotaka mabadiliko, ovyooo! Mnamuonea aibu Kikwete kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Mkulu Quinine,

ile thread yako yenye kuonesha video ya Kikwete anaanguka iko wapi? so far sijaiona (au labda huu uzee nao umeanza kuniingia).
Nilitaka niibandike lakini naona Bu'yaka Bu'yaka ameirudisha angalia post. 891.
 
Nilitaka niibandike lakini naona Bu'yaka Bu'yaka ameirudisha angalia post. 891.

Huwa nashindwa kuelewa kwanini Kikwete napenda sana kuongea uongo mkubwa kwenye mikusanyiko ya watu? Hii ya kuanguka nadhani ni adhabu! Kabla sijalala lazima niingalie anakula mwereka baada aiseeeeeeeeee .......
 
bk8.jpg

Jamani the man is serious nguvu za kusimama mwenyewe hana hadi kuegemea, kapoteza mng'ao wake wa kawaida hata tabasamu lake nila kulazimisha huruma inanijia lakini kila nikiangalia picha ya hapa chini huruma yote inapotea nashindwa nimhurumie yupi.
 
Sipendi mnavyodhihaki.

Ivi mzazi wako angekutwa na hali ile, utakua utamtania "aisee" akikuudhi?

Jamani tuwe na busara katika hili.
Angefanya vile kwa kukusudia au kumlinda fisadi flani, ningewaelewa.
Hata kama angekuwa mzazi wangu ikiwa anaacha watoto wagonjwa nyumbani hawajali kwa chakula wala dawa yeye kutwa kushinda bar na vimada akija amelewa nitamwambia hivyo hivyo....Aiseeeee...hadi ajirekebishe.
 
Hahahahaha hii thread imesavaivu sana! Nadhani wakulu wanaona aibu kuifuta!
 
Hahahahaha hii thread imesavaivu sana! Nadhani wakulu wanaona aibu kuifuta!

Wamejaribu kila trick na wamefeli. Waliondoa you tube video, lakini bado ikawepo na ikarudishwa. Wakafikia hatua ya kuondoa picha (na video kwa mara ya pili) lakini wakuu wakazidi kuziweka. Sasa hivi wanasubiria sababu kidogo tu waihamishe.

mashushushu wangu wanasema kuwa watamtuma MS aje kuivuruga ili wapate nafasi ya kuifunga ... ha ha ha ha

Na wakifanya hivyo, nitaanzisha nyingine ili the whole game ianze upya.
 
Hahahahaha hii thread imesavaivu sana! Nadhani wakulu wanaona aibu kuifuta!
Hawawezi kwasababu hatusemi majungu ni hali halisi imetokea na wengi wameona, na kumbuka ukificha ficha kitu ndiyo unakaribisha majungu zaidi mwisho watu watasema alitoa mapovu.
 
Hivi mna uhakika gani kuwa alianguka kiukweli?

Kwa kuwafahamu wana siasa, mie nadhani ALIDANGANYA kuanguka.

CCM wanaleta USANII hata kwenye magonjwa.............................
 
JK 90% Slaa 15% Lipumba 5% - By jeykey Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

Naona inakuuma kuona JK apita kiurais

Mambo ya kutumia muda mrefu madrassa .... 90 + 15 + 5 = 110

WTF is 110%?
 
Quinine na Mwafrika mnanipa raha sana! Hakuna kulala wakileta kujua na sisi tumo!
 
Wamejaribu kila trick na wamefeli. Waliondoa you tube video, lakini bado ikawepo na ikarudishwa. Wakafikia hatua ya kuondoa picha (na video kwa mara ya pili) lakini wakuu wakazidi kuziweka. Sasa hivi wanasubiria sababu kidogo tu waihamishe.

mashushushu wangu wanasema kuwa watamtuma MS aje kuivuruga ili wapate nafasi ya kuifunga ... ha ha ha ha

Na wakifanya hivyo, nitaanzisha nyingine ili the whole game ianze upya.
Na mimi nilitaka kusema hivyo, nimekuwa nikianzisha thread na kuweka video zake zinahamishwa na kuletwa thread hii kwa hilo sina tatizo, ila wakiifuta hii thread nitakuwa na kila sababu ya kuanzisha thread mpya ya video sehemu zote tatu, kabla wakati na baada ya kuanguka.

Ila nasema wote wanaotetea udhaifu wa ugonjwa kwa kusema eti jamaa ana nguvu alianguka na kusimama kuendekea kuongea wanazidi kumuumiza rais, sisi tunaosema wazi rais ni mgonjwa anahitaji kupumzika tunaonekana eti hatuna mapenzi, haya tusubiri siku atakapozimika kabisa tuone nani alikuwa na mapenzi ya dhati.
 
Quinine na Mwafrika mnanipa raha sana! Hakuna kulala wakileta kujua na sisi tumo!

Hapa ni mpaka kieleweke mkuu. Wao wanajidai kuwa wamekamata media zote bongo. Ngoja wapate cha moto hapa JF.

According to insiders, Kikwete analalamika sana kuwa hatumpi chance hapa JF. Si unajua tena baba yule kwa kupenda ujiko hajambo. Angependa sana kuona akisifiwa hapa kama vile ITV, TBC, Channel 10, Star na wale wapiga domo wa power breakfast (clouds FM) wanamvyomsifia kila siku.
 
Back
Top Bottom