Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,070
- 136,458
Wait a minute...could this be a publicity stunt?
Rais alipumzika kidogo na akaendelea na speech. Hali ni nzuri na mambo ni shwari.
Kila binadamu anaumwa kwa wakati wake. Tumtakie kheri pamoja na tofauti zetu za kiitikadi.
Ili?.....
Ni kweli amedondoka madodyguard wa bongo ni wa hovyo wqamemwacha hadi mzee mzima analamba mchanga badala ya kumwahi asidondoke jumla!
...kutafuta huruma za watu, maybe? I am riding on the same train of thoughts...:confused2:
Kwani alizimiaMungu ampe nguvu ili azinduke
Swaumu? Hakuna lolote anatafuta public huruma ya wananchi! Ah siasa kazi kwelikweli!Inawezekana ikawa ni saumu kutokana na mazingira yaliyopo. Bila shaka tangu asubuhi alikuwa na kazi nzito za kichama katika kuhakikisha maandalizi yanaenda vizuri. Pole yake.
Pole Jk, sijui unatatizo gani jamani, mbona kila mara jangwani kwenye uzinduzi waanguka.
hakuanguka jumla mabodyguard wake walimuwahi kabla hajafika chini. Mbona hata Dr Slaa alianguka bafuni huko mwanza hadi kuvunjika mkono. wote wameanguka tofauti mmoja kaanguka bafuni mwingine jukwaani. hii ni bahati mbaya inaweza ikamtokea mtu yoyoye wakati wowote.
Nawashangaa sana CCM! Kwa nini wasitwambie ukweli ? Asiumwe yeye ni nani kwa sababu ni Rais, tukumbuke Rais hakujiumba mwenyewe.
Kuanguka sio yeye tu kumbuka Dr Slaa aliaguka majuzi bafuni Mwanza na kuvunjika mkono,ile ni ajali kama ajali nyingine
Hakufika chini, aliweza kukabiliana na hali. si unajua ni mjeshi?Du !
Haya kumekucha huko Jangwani mwenye news zaidi atujulishe hii ni kwa mujibu wa TBC ndo naangalia hapa