MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
Yah! I hate CCM, Yah I hate Kikwete as a president but not as a personal, tukio lililotokea leo limefanya nitokwe na chozi. The guy is serious sick na kama CCM wanampenda huyu mtu basi ni heri wampumzishe
Mchungaji ..unafika mbali sana, kuhusu afya ya mtu ni siri ya mtu mwenyewe, and its unethical kuelezea mambo afya inalomsibu mtu mwingine.. mimi ni mtaalamu wa afya lakini hapo umefika mbali sana... nafikiri watu kama nyie katika kuropokaropoa kwa mambo msiyo yajua mnatambulikana kama wahaini na ni kwa sabaubu tu ya nchi yetu ni ya amani, lakini mtu kama wewe ungetakiwa uwe somewhere ujileze vizuri nani kakupa mamlaka hayo na pia unawesemea wa kinani
pole sana, nafikiri wewe ndo form 7.......hii ndiyo shida ya narrow mindKisomo cha madrasa hicho. Kamaliza form 7.
pole sana, nafikiri wewe ndo form 7.......hii ndiyo shida ya narrow mind
Kisomo cha madrasa hicho. Kamaliza form 7.
Nafikiri hapo kulikuwa na mgongano wa dhamira mbili tofauti (malaika wa bwana na wa shetani) moja ilikuwa inamwambia sema ukweli nyingine ilikuwa inamwambia danganya, nafikiri iliyokuwa inamwambia danganya ikashinda alipotaka kuendelea roho na mwili vikakataa.
Ikiwezekana ndugu yangu Mzee wa Busara kwa leo inatosha ukapumzike uka rest in peace maana unakoelekea si kuzuri, kama ni kumtetea mpendwa wetu umemtetea sana na kuanguka kwake hakukusababishwa na Chadema ni matatizo yake binafsi tumwombee tu uzima.Daima fisi (Chadema) anasubiri mfupa kudondoka. Mwaka 2005 alipoanguka KIKWETE hapo hapo Jangwani waliomtakia mabaya walijua ndio mwisho wake lakini akapata ushindi wa kishindo zaidi ya asilimia 80. Mwaka huu 2010 pia ni wa CCM. Kwa watanzania makani suala la kuanguka ni dogo. Mbona Clinton alipatikana na hatia ya kufanya mapenzi katika Ikulu ya Wamarekani na akaendelea kuongoza sembuse kuanguka???? haaaaa.
pole sana, nafikiri wewe ndo form 7.......hii ndiyo shida ya narrow mind
pole sana, nafikiri wewe ndo form 7.......hii ndiyo shida ya narrow mind
Kuwa kiongozi hakumaanishi nisiseme kasoro zake. Nimezoea kumuona akiwakejeli wanasiasa wenzie walio kambi tofauti na yake. Ni mtu wa ajabu mwenye visasi na kejeli nyingi tu.Mimi siyo mpenzi wa chama chochote, lakini Kikwete ni raisi wetu na nafikiri hakuna mwingine zaidi yake hata huyo unayemfikiria mwenyewe alikuwa hajiamini kupambana kwa nafasi hiyo utampaje mtu urais hata yyeye mwenyewe hajiamini.. urais siyo sehemu ya kujifunzia
poleni sana, kama ma fisadi wamewatuma mmeshindwa,
Mchungaji wewe ni wa wapi usiye weza kuchunga uyasemayo?Nilikuwa nataka watu kama wewe mje niandike zaidi!
Mimi siropoki naongea facts! Mwaka 2005 alifanya uchunguzi wa afya France na madaktari walimshauri afanyiwe upasuaji mkubwa kutibu ulemavu wa nerves za kwenye ubongo alizo nazo. JK na washauri wake walikataa sababu chance za kupona ni 30% na kama operation ikienda vizuri kurudia hali ya kwaida ni 40% wakachomoa wakaomba dawa na si upasuaji.
Kwa hiyo tusishangae wala kusononeka raisi wetu na mgombea wa CCM anaulemavu kwenye mishipa ya ubongo. Kiswahili kitamu hakuna maneno zaidi
Msije kulalamika mchungaji hakusema ukweli
Rev Masa
Mchungaji wewe ni wa wapi usiye weza kuchunga uyasemayo?
Jamani mbona huyu jamaa mimi simwelewi watu wanachangia mengine yeye anajibu mambo tofauti kabisa, hebu Mzee wa Busara kama hili tukio limeku touch na kukutoa huko uliko tangu 2008 basi uwe na ustaarabu unapojibu post za watu, hatukatai kumtetea Kikwete lakini heshima kwa watu wengine izingatiwe.wewe Nyani Ngabu ni chadema damu nani asiyekujua. ukitaka kumchokoza Nyani Ngabu mguse MBowe, Dr Slaa na chama chao cha Chadema. Wanajamiiforums wengi tumesituka kwamba mnatupeleka kusiko. kila mtu mwache achague chama akipendacho. kama upo chadema na wengine wape uhuru kuingia vyama tofauti na chako.
Neno au lugha nzuri pale mtu apatwapo na tatizo au misukosuko, sie waungwana huwa nalo moja tu... Pole au Poleni kwa yote yaloku/wa fika.
Welcome, leo JF itapata wageni wengi sana, Invisible vipi sever yetu iko imara.
Luiza Gama
Junior Member
Join Date Sat Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
hapa ndugu yangu tuongee ukweli kabisa mimi au umma wa Tz haujaona mahali popote amkekuwa mtu wa kisasi watu wamekuwa wakimsema lakini amekuwa mpole. me nafikiri ingekuwa wakati wa uwazi na ukweli hapa hata hizi blog zisingekuwepoKuwa kiongozi hakumaanishi nisiseme kasoro zake. Nimezoea kumuona akiwakejeli wanasiasa wenzie walio kambi tofauti na yake. Ni mtu wa ajabu mwenye visasi na kejeli nyingi tu.
Sasa anapata haki kwa aibu. Ametegemea polisi.