Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

Hapo hapo mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa joyce mkuya.

Chadema wana kipaji cha ujinga
,Hana namna Sasa sijui alipiga ya kideri,au ya corona
JamiiForums1166788534.jpg
 
Hapo hapo mbowe amepata chanjo ya corona na anafanya social distance kwa joyce mkuya.

Chadema wana kipaji cha ujinga
Hata ukipiga chanjo lakini ni lazima uvae barakoa, uweke masafa, unawe na maji tiririka kwani hiyo chanjo haijawa 100% yenye kutegemewa.
 
Hivi kazi ya gavana wa benki kuu ni sawa na mkuu wa mhimili wa mahakama?
Ndio. Kazi zote mbili zinahitaji wabobezi katika fani husika. Hawa ni tofauti na Spika wa Bunge ambae ni mbunge anaeguliwa na wabunge wenzake kushika nafasi. Kwa vile nasikia sifa ya kielimu ya anayotakiwa kuwa nayo anayetaks kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika basi mtu yeyote anaweza kuwa Spika mradi anajua kusoma na kuandika na amechaguliwa kuwa mbunge.

Amandla....
 
Mimi sikuzungumzia shahada ya sheria. Nilisema "mwisho mtasema Chief Justice sio lazima awe amesomea sheria". Mtu unaweza kusomea sheria bila kupata shahada kama walivyofanya ma justices wa Marekani.

Bottom line ni kuwa hatuwezi kuepuka kuwa kuna kazi ambazo zinahitaji uelewa wa fani husika. Gavana wa BOT asiyejua lolote kuhusu masuala ya uchumi ni disaster in the making. Mimi sijui kama wa sasa ana hiyo exposure au la kwa hiyo siwezi kumhukumu.

Amandla...
Nimefuatilia debate yenu Fundi Mchundo Nyani Ngabu naona hapa umehitimisha kabisa.
 
Prof. Luoga alisomea Kilimo na Tax law leo amekuwa Gavana wa Benki Kuu. Ukisikia mtu kupewa uendeshe Semi-Trailer wakati leseni yako ni ya Bajaji ndio hapo.

Alale mahali pema peponi mzee wa kutumbua na kuteua papo kwa papo!
Bila kusahau ''Mzee wa kukurupuka''.Akili za Jiwe na lile bichwa lake alikuwa anazijua mwenyewe !🤣
 
Maandalizi za kuficha ripoti ya uchunguzi wa CAG na TAKUKURU pale BoT. Maana taarifa za ndani zinaonyesha Makamu wa Rais na Gavana wapo kwenye hiyo scandal.

Mmeanza kuleta porojo za Kigogo hapa,eti taarifa za ndani”
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo.

View attachment 1753844
View attachment 1753845

Ramadhan Kareem!
Amekutana na viongozi muhimu na thabiti sana wa Wizara ya Fedha kipindi yeye alipokuwa bado VP
 
Back
Top Bottom