Kikao cha siri cha WanaCCM "asilia" Jana usiku cha pale Dodoma huenda kikasaidia kupambana na wagombea "wa kupandikizwa"

Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".

Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.

Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.

Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.

Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.

CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
Tatizo lenu huwa ni kihere here na kutojua kula na kipofu, haya tunashukukuru kwa taatifa kumbe kulikuwa na kikao cha siri!? Tena kinacho taka kupingana na mwenye kiti wa chama! Nakuhakikishia hilo litashughulikiwa haraka ilimradi tumepata taarifa kuwa lipo.
 
Tumeshawazoea na ubashiri wenu usiotimia kila mnapoiombea dua mbaya CCM. Inaendelea kuimarika kila iitwapo leo
Wamechelewa sana, kati ya 2015 na 2017 ndio lilikua dirisha pekee la kumdhibiti Magufuli. Kwasasa wavumilie tu, ikifika 2025 CCM kitakua chama tofauti kabisa, siasa kali za chuki ndio patakua nyumbani kwake.
 
CCM sio wajinga kiasi hicho mkuu yaan mkutano wa Maana Sana hivyo wakafanyie hapo area C na wanajua Kuna wajumbe 1500+ wa CCM wapo hapo DODOMA afu kirahisi tu na wao mkutano wenye agenda nyeti sana tena inampinga mwenyekiti wafanyie hapo Area C,

Kwakweli CHADEMA na mabaraza yake Yote sijasahau na waliodeki barabara 2015 ubongo wenu umejaa makamasi tupu!!!
 
Meko ameiweka CCM kiganjani. Analotaka ndilo linafanyika.
Ili kuwadhibiti wenye dhamira ya kumnyima kura pale Dodoma jana, wajumbe wa mkutano mkuu toka kila mkoa walitakiwa kupiga kura na kuziweka sanduku moja.
Hii ingesaidia kubaini ni mkoa gani umemkataa.
Kama vile DJ alivyoiweka CHADEMA mfukoni. Matokeo yake chama kimekosa pumzi, kimemfia huko huko mfukoni.
 
Kabudi atagombea jimbo la kibamba

Back
Top Bottom