Kikao cha siri cha WanaCCM "asilia" Jana usiku cha pale Dodoma huenda kikasaidia kupambana na wagombea "wa kupandikizwa"

Wanajimilikisha vyama ni Mali Yao na uenyekiti Ni wao Tena wa kudumu mwengine ikifika uchaguzi anachukua ruzuku ya chama halafu anakikopesha chama Chake baadae anajilipa mwenyewe mi huwa naviita vijisaccos
Mwenyekiti anatamka hadharani kwamba kura si kigezo cha mtia nia wa ubunge kupitia ccm kupitishwa kuwa mgombea bali "mood" yake. Hii mbaya sana
 
Unadhani ccm ni kama chadema .huijui ccm wewe dogo
Mkuu Wewe naye eti unafanya propaganda, huu ni upuuzi kama wa mtoto wa chekechea,CCM ni taasisi sio Saccos kama chadema
Naipinga hii hoja ya mleta mada.
Nawaona mnalia tu kama watoto, mwenzenu yupo jikoni analeta habari, nyie sijui mko vichochoro gani huko saa hizi mnabisha msilolijua.
 
Mwenyekiti anatamka hadharani kwamba kura si kigezo cha mtia nia wa ubunge kupitia ccm kupitishwa kuwa mgombea bali "mood" yake. Hii mbaya sana

Bulaya alikuwa wa nne kwenye hizo kura za maoni bunda 2015. Kingekuwa kigezo sahihi asingepitishwa na chadema.
 
Huyo mleta hoja kaoongea ukweli ambao kwa viongozi madictator haupaswi kusikika. Kinachofanyika hivi sasa ni hofu dhidi ya mwenyekiti, kwani ana kofia nyingine ambayo ni rahisi kuitumia kwa mwanachama yoyote, asiyekubali kutii hata mambo yasiyo na maslahi kwa chama. Kwa sasa wanaccm wameanza kujua vyema hatari ya kofia mbili, kwani wameona zinaweza vipi kutumika vibaya hata dhidi yao.
We dogo acha kusapoti upuuzi. Kama mtu alikuwa Chadema alafu akarudi kama Mwambe kuna kosa kugombea? Kama mtu amekuwa Ccm kwa muda mrefu, alafu hana influencd kuna kosa kumuachia mtu mwenye influence kama Silinde?
Pia tambua Ccm ni taasisi iliyokita mizizi.
 
Attachments

  • MREMATISHA.jpg
    MREMATISHA.jpg
    25.3 KB · Views: 1
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".
Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.
Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.

Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.

Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.

CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
Hawawezi kuleta uzandiki wakati Lyatonga yupo Dodoma. We unaifahamu Ccm? Area C wamefanyia kikao nyumba gani? Kwani kuwa mwanaCcm mfia chama lazima ugombee hata kama huna mvuto kwa wananchi?
 
Attachments

  • MREMATISHA.jpg
    MREMATISHA.jpg
    25.3 KB · Views: 1
We dogo acha kusapoti upuuzi. Kama mtu alikuwa Chadema alafu akarudi kama Mwambe kuna kosa kugombea? Kama mtu amekuwa Ccm kwa muda mrefu, alafu hana influencd kuna kosa kumuachia mtu mwenye influence kama Silinde?
Pia tambua Ccm ni taasisi iliyokita mizizi.

Hao wanaccm wanaolialia sio wajinga wa hivyo, wanajua fika ccm haishindi kwa kura halali, bali ni mkono wa rais juu ya tume ya uchaguzi. Ingekuwa kweli ccm inashinda kwa kura halali, hao wanaccm wasingekuwa na tatizo. Usidhani watu ni wajinga wa kihivyo, hata kama wako kimya kwa kuhofia lile kundi la jiwe la watu wasiojulikana.
 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".

Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.

Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.

Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.

Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.

CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
Ccm mbere kwa mbere.....mtanyoka mwaka huu. Mlijya mnamiomoa Mbowe. Anachela tu huku anatupia bia moja baridi nyingine moto.
 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".

Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.

Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.

Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.

Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.

CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
CCM Hakuna wa kumzuia magufuli waache wakae vikao vyao hawana madhara yoyote.
 
Huyo mleta hoja kaoongea ukweli ambao kwa viongozi madictator haupaswi kusikika. Kinachofanyika hivi sasa ni hofu dhidi ya mwenyekiti, kwani ana kofia nyingine ambayo ni rahisi kuitumia kwa mwanachama yoyote, asiyekubali kutii hata mambo yasiyo na maslahi kwa chama. Kwa sasa wanaccm wameanza kujua vyema hatari ya kofia mbili, kwani wameona zinaweza vipi kutumika vibaya hata dhidi yao.
Acha awanyoshe tu . Tuliwaonya
 
Hao wanaccm wanaolialia sio wajinga wa hivyo, wanajua fika ccm haishindi kwa kura halali, bali ni mkono wa rais juu ya tume ya uchaguzi. Ingekuwa kweli ccm inashinda kwa kura halali, hao wanaccm wasingekuwa na tatizo. Usidhani watu ni wajinga wa kihivyo, hata kama wako kimya kwa kuhofia lile kundi la jiwe la watu wasiojulikana.
Visingizio juu ya visingizio. Hakuna mwana Ccm anaelalamika. Mnaleta propaganda za uongo. Lakini hii ni baada ya kuona Chadema imekufa.
 
Tunawaombea mkisambaratishe kabisa hicho kichaka
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".

Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.

Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.

Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.

Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.

CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
 
Mkuu Wewe naye eti unafanya propaganda, huu ni upuuzi kama wa mtoto wa chekechea,CCM ni taasisi sio Saccos kama chadema
Kwanini ccm isiwe ndiyo saccos ya kuuziana ng'ombe mmoja kwa wawili?
 
Back
Top Bottom