Kikao cha siri cha WanaCCM "asilia" Jana usiku cha pale Dodoma huenda kikasaidia kupambana na wagombea "wa kupandikizwa"

Ukisia ukaburu ndiyo huo, yaani watu wanadhani kaburu ni rangi
Meko ameiweka CCM kiganjani. Analotaka ndilo linafanyika.
Ili kuwadhibiti wenye dhamira ya kumnyima kura pale Dodoma jana, wajumbe wa mkutano mkuu toka kila mkoa walitakiwa kupiga kura na kuziweka sanduku moja.
Hii ingesaidia kubaini ni mkoa gani umemkataa.
 
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".

Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.

Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.

Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.

Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.

CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
Kama kweli wapo watu wa aina hiyo CCM (siamini wapo), basi wasiishie hapo. Washughulike na huyo anayewapandikizia wagombea.
 
Meko ameiweka CCM kiganjani. Analotaka ndilo linafanyika.
Ili kuwadhibiti wenye dhamira ya kumnyima kura pale Dodoma jana, wajumbe wa mkutano mkuu toka kila mkoa walitakiwa kupiga kura na kuziweka sanduku moja.
Hii ingesaidia kubaini ni mkoa gani umemkataa.
Atakomeshwa uchaguzi huu
 
Nawaona mnalia tu kama watoto, mwenzenu yupo jikoni analeta habari, nyie sijui mko vichochoro gani huko saa hizi mnabisha msilolijua.
Wapo uwanja wa fisi wanapiga wanzuki tu hawana mpango kazi yao ni kulishwa maneno na Chakubanga
 
Mwenyekiti anatamka hadharani kwamba kura si kigezo cha mtia nia wa ubunge kupitia ccm kupitishwa kuwa mgombea bali "mood" yake. Hii mbaya sana
Inategemea kaamkaje siku hiyooo looooo kweli ccm imepata muwekezaji
 
Hakika huo ndiyo ukweli hatuwezi kuwapokea wahamiaji haramu alafu wao ndiyo wapewe madaraka
Unaipinga lakini tumeshapanga yetu hatukubali wagombea wa kukodisha Sisi wanaCCM kindakindaki tutakipigania chama chetu hadi mwisho.
 
Meko ameiweka CCM kiganjani. Analotaka ndilo linafanyika.
Ili kuwadhibiti wenye dhamira ya kumnyima kura pale Dodoma jana, wajumbe wa mkutano mkuu toka kila mkoa walitakiwa kupiga kura na kuziweka sanduku moja.
Hii ingesaidia kubaini ni mkoa gani umemkataa.
👏👏
 
Hata wakitoana macho au wengine wakaenda kuanzisha chama cha vichakani itakuwa poa tu
Wamechelewa sana, kati ya 2015 na 2017 ndio lilikua dirisha pekee la kumdhibiti Magufuli. Kwasasa wavumilie tu, ikifika 2025 CCM kitakua chama tofauti kabisa, siasa kali za chuki ndio patakua nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom