Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 19,003
- 31,407
Naipinga hii hoja ya mleta mada.
Unaipinga lakini tumeshapanga yetu hatukubali wagombea wa kukodisha Sisi wanaCCM kindakindaki tutakipigania chama chetu hadi mwisho.
Naipinga hii hoja ya mleta mada.
Mwenyekiti anatamka hadharani kwamba kura si kigezo cha mtia nia wa ubunge kupitia ccm kupitishwa kuwa mgombea bali "mood" yake. Hii mbaya sanaWanajimilikisha vyama ni Mali Yao na uenyekiti Ni wao Tena wa kudumu mwengine ikifika uchaguzi anachukua ruzuku ya chama halafu anakikopesha chama Chake baadae anajilipa mwenyewe mi huwa naviita vijisaccos
Unadhani ccm ni kama chadema .huijui ccm wewe dogo
Mkuu Wewe naye eti unafanya propaganda, huu ni upuuzi kama wa mtoto wa chekechea,CCM ni taasisi sio Saccos kama chadema
Nawaona mnalia tu kama watoto, mwenzenu yupo jikoni analeta habari, nyie sijui mko vichochoro gani huko saa hizi mnabisha msilolijua.Naipinga hii hoja ya mleta mada.
Mwenyekiti anatamka hadharani kwamba kura si kigezo cha mtia nia wa ubunge kupitia ccm kupitishwa kuwa mgombea bali "mood" yake. Hii mbaya sana
We dogo acha kusapoti upuuzi. Kama mtu alikuwa Chadema alafu akarudi kama Mwambe kuna kosa kugombea? Kama mtu amekuwa Ccm kwa muda mrefu, alafu hana influencd kuna kosa kumuachia mtu mwenye influence kama Silinde?Huyo mleta hoja kaoongea ukweli ambao kwa viongozi madictator haupaswi kusikika. Kinachofanyika hivi sasa ni hofu dhidi ya mwenyekiti, kwani ana kofia nyingine ambayo ni rahisi kuitumia kwa mwanachama yoyote, asiyekubali kutii hata mambo yasiyo na maslahi kwa chama. Kwa sasa wanaccm wameanza kujua vyema hatari ya kofia mbili, kwani wameona zinaweza vipi kutumika vibaya hata dhidi yao.
Hayo ya Chadema hatuyajui. Sisi ccm hatujawahi kutumia mood ya mtu kumpitisha mgombeaBulaya alikuwa wa nne kwenye hizo kura za maoni bunda 2015. Kingekuwa kigezo sahihi asingepitishwa na chadema.
Hawawezi kuleta uzandiki wakati Lyatonga yupo Dodoma. We unaifahamu Ccm? Area C wamefanyia kikao nyumba gani? Kwani kuwa mwanaCcm mfia chama lazima ugombee hata kama huna mvuto kwa wananchi?Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".
Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.
Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.
Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.
Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.
CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
Huyu si mnufaika bali ni msaka tonge.Mnufaika utamjua tu
We dogo acha kusapoti upuuzi. Kama mtu alikuwa Chadema alafu akarudi kama Mwambe kuna kosa kugombea? Kama mtu amekuwa Ccm kwa muda mrefu, alafu hana influencd kuna kosa kumuachia mtu mwenye influence kama Silinde?
Pia tambua Ccm ni taasisi iliyokita mizizi.
Ccm mbere kwa mbere.....mtanyoka mwaka huu. Mlijya mnamiomoa Mbowe. Anachela tu huku anatupia bia moja baridi nyingine moto.Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".
Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.
Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.
Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.
Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.
CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
CCM Hakuna wa kumzuia magufuli waache wakae vikao vyao hawana madhara yoyote.Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".
Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.
Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.
Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.
Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.
CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
Bulaya alikuwa wa nne kwenye hizo kura za maoni bunda 2015. Kingekuwa kigezo sahihi asingepitishwa na chadema.
Acha awanyoshe tu . TuliwaonyaHuyo mleta hoja kaoongea ukweli ambao kwa viongozi madictator haupaswi kusikika. Kinachofanyika hivi sasa ni hofu dhidi ya mwenyekiti, kwani ana kofia nyingine ambayo ni rahisi kuitumia kwa mwanachama yoyote, asiyekubali kutii hata mambo yasiyo na maslahi kwa chama. Kwa sasa wanaccm wameanza kujua vyema hatari ya kofia mbili, kwani wameona zinaweza vipi kutumika vibaya hata dhidi yao.
Visingizio juu ya visingizio. Hakuna mwana Ccm anaelalamika. Mnaleta propaganda za uongo. Lakini hii ni baada ya kuona Chadema imekufa.Hao wanaccm wanaolialia sio wajinga wa hivyo, wanajua fika ccm haishindi kwa kura halali, bali ni mkono wa rais juu ya tume ya uchaguzi. Ingekuwa kweli ccm inashinda kwa kura halali, hao wanaccm wasingekuwa na tatizo. Usidhani watu ni wajinga wa kihivyo, hata kama wako kimya kwa kuhofia lile kundi la jiwe la watu wasiojulikana.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu ambao ni CCM asilia walikutana kwa siri jana usiku sehemu fulani pale Area C Dodoma kubuni mbinu za kushughulika na wagombea wa "kupandikizwa".
Wagombea wa kupandikizwa wako wa aina mbili.
Moja, ni wale ambao wana uswahiba na Mwenyekiti lkn hawana mvuto wala hawajulikani majimbo wanakotumwa kugombea. Mf. Prof. Kitila kugombea Ubungo, na prof. Kabudi kugombea Kilosa.
Pili, ni wale waliotoka vyama vingine na kupewa feva ya kugombea bila kupingwa ndani ya ccm.
Haya mawili yamewaumiza Sana wanaCCM wapiganaji na wafia chama. Na Kuna mengi yamepangwa tuombe Mungu yafanikiwe. Muda utaongea.
CCM tuko pamoja lkn hatuna umoja.
Haya ni matunda ya Yesu wa Chattle!
Kwanini ccm isiwe ndiyo saccos ya kuuziana ng'ombe mmoja kwa wawili?Mkuu Wewe naye eti unafanya propaganda, huu ni upuuzi kama wa mtoto wa chekechea,CCM ni taasisi sio Saccos kama chadema