mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Kigwangomic kuwa waziri mkuu ajayeNdugai pia ahairishe maombezi ya kumuombea chief hangaya hapo bungeni
Kigwangomic kuwa waziri mkuu ajayeNdugai pia ahairishe maombezi ya kumuombea chief hangaya hapo bungeni
Wewe ndiyo ****** au mkewe?Ubora unaousema anao ni kwa standards/vigezo gani?Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho, isipokuwa wafuasi wa Mbowe/chadema.
Mhe. Spika Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Lowasa alilazimshwa kama mmnavyo mlazimisha JoboMzee Kumbe,Lowassa Je?
Hili ni swali au unakazia taarifa?
Hilo lilishafafanuliwa vema sana na Mh.Pro.Kishimba.Hafai machungani.Mambo kadhaa yatatokea iwapo atapewa kazi ya kuchunga:Ataachwa na ng'ombe porini aidha atarejea nyumbani kabla ya mifugo-hafahamiani na ng'ombe za Babake kama yu hai.Baba yake anaming'ombe mingi tu huko Kongwa, atakwenda kuichunga.
amemwambia hakuna mtu atagongewa hodi kudaiwa rejesho. yule ndo bogus kabisaKwa hiyo hata mwigulu kashindwa kumjibu ndugai kuhusu mkopo na tozo .
Mkuu Mwaikibaki , karibu hapa uone tulisema niniHuyu ni mtu wa hovyo professionally kuwahi kupewa nafasi kubwa kama hiyo, it was a big risk kama nchi kumpa muhimili huu!
Ilikua ni issue ya muda tu! Bila kinyongo, fitna majungu wala mrengo wa kisiasa, naweza kuthubutu kusema hata siku moja huyu mtu hakuweza kua na level ya professionalism ukiacha tabia za wanasiasa vigeugeu aka fit kua mkuu wa mhimili huu!… msaidizi wake ni academically qualified (paper) ila reasoning na siasa zake ni wa hovyo as well!
Kwa mhemuko ulioonesha leo kwenye uzi huu hakika leo nami nimeamini kuwa wewe Pascal umo katika kundi la akina Ndugai.
Maana ulivyo ambiwa kuwa mwenzenu kabwaga manyanga umeshtuka Sana hata ukashindwa kuamini kuwa kuwa kujiuzulu inawezekana bila vikao.
Sasa umeonesha rangi yako halisi. Ila pole Sana maana utashi wa matamanio yenu umevuka hata hekima ya kawaida Ndiyo maana hata mmepanga mambo yenu bila tahadhari, ubavu wa kushindana na Rais kwa Katiba zetu za chama ccm haiwezekani.
Duh...!.Pasco yupo kundi Moja kina Ndugai
ulishawahi kufika KONGWA?Ndugai bado ni Spika bora zaidi kuliko.
pamoja na yote yaliyo tokea bado watanzania wengi wangependa kumuona anaendelea kukalia kiti hicho, isipokuwa wafuasi wa Mbowe/chadema.
Mhe. Spika Bado anahitajika sana ktk kipindi hiki.
Big NOLeo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Njoo tena unikane mpenziNdugai hawezi jiuzulu. Bunge ni mhimili unaojitegemea 🙄.Hivi Bunge na Mahakama vipo huru kweli ?Dictator Nyerere kweli alituachia majanga. Na kupata solutions ni ngumu. Mpaka wote waliozaliwa kabla ya uhuru wafe dunia.
ndiyo profession yake - kilimoKazi zipo nyingi duniani anaweza kuamua kuwa bwana shamba
Rejea Comment yako ya awali kisha rudi tupatie mrejesho baada ya Ndugai kuachia ngazi:Hizo taarifa za Job kujiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya chama, huo utakuwa ni uongo!. Kama ni kujiuzulu ni kujiuzulu uspika tuu ambao ujumbe wa CC, anakuwa ameupoteza automatically, lakini anaendelea na ubunge wake, unless kama CCM watamuweka kikao. CCM hawafanyi mambo kienyeji kama wale wenzetu.
P
Vipi kile cha KULIOMBEA TAIFA alichokuwa akiendeshe bungeniLeo kilikuwa kifanyike kikao maalum cha wawakilishi wa kamati zote za bunge chini ya uongozi wa Spika Job Ndugai. Kikao hicho ambacho kilikuwa kifanyike huko Unguja kimeahirishwa.
Sababu za kuahirishwa kwake hazijawekwa wazi ingawa zipo taarifa za ndani kuwa tayari Job Ndugai ameshajiuzulu nafasi zake zote ndani ya CCM na bungeni.
Mkuu Mwaikibaki , karibu hapa uone tulisema nini
PKwa wale mliowahi kufika Kongwa, ni jimbo choka mbaya kiasi kwamba Mbunge wake hafai kwa lolote!
Wanabodi, Uwezo wa kiongozi mzuri, hupimwa kwa matokeo ya ahadi anazotoa kuwa iwapo atachaguliwa atafanya nini. Sasa inapotokea mmemchagua mtu, amekaa miaka 5, hajafanya lolote, na baada ya miaka 5, mmemchagua na hajafanya lolote, sasa leo tena, mmemchagua tena kwa miaka 5 ya mwingine...www.jamiiforums.com